Jinsi ya kufuta na kuondoa Michirizi (Stretch Mark) kwenye ngozi

Kabisa. Mie sina ufagio.

Mimi hiyo michirizi naionaga kwa wanawake wanene (turbo) wale wanao-abuse au kufakamia misosi na bia za ofa *pun very much intended*

Kuna wengine wenye maumbo ya kawaida wanakuwa nayo; si wanene tu.
 
Kashaijabutege, wewe ni faraja kubwa kwa hao wa dada wenye michirizi, maana kwa kiasi kikubwa michirizi huharibu urembo wa mdada.
 
Kashaijabutege, wewe ni faraja kubwa kwa hao wa dada wenye michirizi, maana kwa kiasi kikubwa michirizi huharibu urembo wa mdada.

siyo michirizi ya usoni
Kule kwa chini wewe:A S-alert1:
 
Nadhani hapa kuna kukinzana na kashaijabutege,nilivyo muelewa anazungumzia michirizi ya kuvunja hungo kwao saiita"Amazimola"au siyo kashaijabutege?hii nitofauti nz unene kwa hata mimi siipendi wengine unaikuta ktk mikono hasa wanaotumia mikorogo utawaonea huruma.
 

Nona wapata soseji na mayai mawili teh teh
 
Kibweka acha uchokozi mkuu nililetwa menu imepangwa hivyo ikabidi nicheke sana hata mhudumu hakujua nacheka nini!!nikachukua picha kama ukumbusho.
 

Ewaaaaa, Amazimola. Umenikumbusha kwetu. Yaani kitu Kiiza wacha tu!
 
Hii huwezi ikuta kwenye mguu wa kichaga. Naamini hata wengi walioiponda humu ni wao...
 
Huwa inaitwa kwa lugha nzuri michirizi ya utamu, wengi tunaipenda ila hatutaki kusema ukweli ila isizidi sana inakuwa kero zaidi kuliko raha
Why inaitwa michirizi ya utamu? Na inakua kero kivipi ikizidi?
Najua twaongelea stretch marks na sio mistari ya caro light!
 
Why inaitwa michirizi ya utamu? Na inakua kero kivipi ikizidi?
Najua twaongelea stretch marks na sio mistari ya caro light!

Kila mwanaume ana badhi ya vitu anavyopenda ila kuna ambavyo vinapendwa na wengi zaidi kama vila makalio makubwa, miguu mikubwa na kama maziwa makubwa (siyo ya kichina lakini) ila usisahau ugonjwa wa wanaume ni macho na wanawake ni masikio. Michirizi hiyo ni mvuto wa utamu kwangu
 

Masikio yamefanya nini
au yaliyo kama ungo:A S-alert1:
 

wos umenena,,,kwa hakika ckujua kama kuna watu wanaipenda!!!!
 
kuna wengine wanapata hizo michirizi sababu ya kutumia dawa za kujichubua,unakuta ni dada mwembamba lkn anayo wkt mara nyingi huwapata walio wanene.
 
Kumbe tuko wengi mi nilidhani niko peke yangu.......................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…