Jinsi ya kufuta na kuondoa Michirizi (Stretch Mark) kwenye ngozi


Asante mkuu
 
Strech marks zinasababishwa na sababu mbali mbali ikiwemo kuongezeka uzito kwa kasi, kurithi, wakati wa ujauzito ingawa si kwa wote, matumizi ya cream kali n.k. Jaribu ku google kwa detail zaidi ili uzielewe, watu wengine husema huwa haziishi ila zinaweza kufifia.
 
Kuna palmels cream. Apate original ya usa. Pia kuna palmers oil. Hizo ni za uhakika. ukizikosa nitafute nitakuonesha zinakopatikana
 

Asante
 
Kuna palmels cream. Apate original ya usa. Pia kuna palmers oil. Hizo ni za uhakika. ukizikosa nitafute nitakuonesha zinakopatikana

Ni cocoa butter palmer au nyingine? Ntazipata wapi hizo za USA, ni PM tafadhari.
 
Angalia sana mkeo asiwe victim wa kupaka mkorogo. Mkorogo una tabia ya kukuza sehemu zenye michirizi na kuzifanya kuwa kubwa. La sivyo atumie mafuta ya COCOA BUTTER PALMERS INATIBU. Nenda pale shoppers plaza duka la kuuza nguo za wajawazito wakupe hiiyo lotion.
 

Asante
 
Yaani nyie mnahangaika na cream za kuondoa hiyo mipasuko badala ya kumpeleka mke gym akapunguze unene? You are kidding guys. Hakuna cream inaweza kuwa effective katika hilo, zaidi kutafuta shamba kila jumamosi akashike jembe au kwenda Gym.

...........inategemea si wote wanaopata stretch marks ni wanene, mie mwembamba lakini nilizipata kipindi cha preg.
 
Mamndenyi are u sure? Maana hili ni tatizo la wengi. Na kwa akina mama hasa waliokwisha zaa

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Hebu niinbox ni dawa gani mkuu sababu hata mimi kuna ambayo naifahamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…