Jinsi ya kufuta na kuondoa Michirizi (Stretch Mark) kwenye ngozi

Jinsi ya kufuta na kuondoa Michirizi (Stretch Mark) kwenye ngozi

Jaribu kwenda hospitaki yaweza kuwa ni aleji
 
msaada tafadhali kwa yeyote anaeijua dawa ya kuondoa michiriz tumboni baada ya kujifungua......thanx in advance
 
msaada tafadhali kwa yeyote anaeijua dawa ya kuondoa michiriz tumboni baada ya kujifungua......thanx in advance

Duh ngoja waje maana hata me naiihitaji hyo dawa! Maanake nmeharibika vibaya mno
 
Ukiwa na michirizi inamaanisha unaupungufu Wa vitamin E na D so jitahidi kula vyakula vyenye hizo vitamin, ukihitaji maelezo zaidi uta ni pm nikusaidie.
 
Bio oil mimi imenisaidia sn lkn nlikua napaka wakati wa ujauzito nilivogundua tu kama nna hizo marks. Pia kuna cocoa butter oil pia mazuri. Kama zinavoonekana picha post no 2
 
kuna michiri kama mistari fulani kwa wanawake,nyuma ya miguu huonekana na hata mikononi na hata mpaka mapajani,kwa mtazamazo wangu hii michirizi inatia dosari muonekano wa wanawake,kwani haiwezi kudhibitiwa mana hata niinapo huwa hainifurahishi kabisa.

Mimi huwa nikiona kama ndo naelekea kumtokea basi nayeyusha kuulizia matokeo ya Monaco na Arsenal..then nasepa
 
Dah, pia inazeesha haraka. Nadhani inatokana na ngozi kutanuka baada ya kunenepa. Hata baadhi ya wanaume wanayo.
 
Back
Top Bottom