fakalava
JF-Expert Member
- Jul 16, 2015
- 4,459
- 6,027
Hata sehemu hii?nashangaa kwangu boni ninayo halaf ipo sehemu nyingi tu ila nataka kujua ina maana gani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata sehemu hii?nashangaa kwangu boni ninayo halaf ipo sehemu nyingi tu ila nataka kujua ina maana gani
apo kote imezunguka au pic yangu hiyo [emoji15]Hata sehemu hii?
![]()
Ndiyo ni ya kwako, nilitaka nijue je, utajijua kama ni wewe?apo kote imezunguka au pic yangu hiyo [emoji15]
Wakuu polen na mishe.
Nina swali hapa wakuu.
Hivi Ile michirizi inayoonekana kwa baadhi ya kinadada nyuma ya goti wakiwa wamevaa sketi fupi huwa ni ishara ya utamu wao au nyege?
![]()
siku hizi wapo wengi. sasa mkute mweusi na hizo stretch marks dah shida. utafikiri kajichora na chaki.Wakuu polen na mishe.
Nina swali hapa wakuu.
Hivi Ile michirizi inayoonekana kwa baadhi ya kinadada nyuma ya goti wakiwa wamevaa sketi fupi huwa ni ishara ya utamu wao au nyege?
![]()
hujanitendea haki bana nimekusamehe lknNdiyo ni ya kwako, nilitaka nijue je, utajijua kama ni wewe?
Nisamehe. [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Thanks baby... ila nimeanza kuwa na wasiwasi maana nahisi kuna watu wataanza kushawishika.hujanitendea haki bana nimekusamehe lkn
achana nao baby usiwajariThanks baby... ila nimeanza kuwa na wasiwasi maana nahisi kuna watu wataanza kushawishika.
Hahaha hahahaha mkuu umetishaUkitaka kuchora tattoo angalia kwanza na umbo lako lipoje kuna dada alikua mnene kajichora ua rose sasa hv kakonda linaonekana km tembele[emoji1]
Love you [emoji181] [emoji181] [emoji151] [emoji151] [emoji162] [emoji162] [emoji166] [emoji166]achana nao baby usiwajari
love you moree babe [emoji8][emoji8]Love you [emoji181] [emoji181] [emoji151] [emoji151] [emoji162] [emoji162] [emoji166] [emoji166]
Haya hyo hapo mkuu
![]()
Ipo kwenye makalioKwani inakaaga nyuma ya goti Tu? Yangu haiko nyuma ya goti