Jinsi ya kufuta na kuondoa Michirizi (Stretch Mark) kwenye ngozi

Jinsi ya kufuta na kuondoa Michirizi (Stretch Mark) kwenye ngozi

parachute ni 4000 mpaka 10000 elfu inategemea na size na shea butter ni 35000 pale zuri ila maeneo ya kinondoni wanapima kilo 45000 robo 15000 sema kwa kinondoni sifahamu ipo maduka gani
 
kama una mtu arusha jaribu pia kumwambia labda akuangalizie zuri ipo maeneo ya nakumati au kama mwanza kuna duka la SH Amon sema wao wanaweza uza bei zaid
 
Back
Top Bottom