miss_blossom
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 1,607
- 2,150
Hapana, niliwai kutumia kipindi cha nyuma sanambona mi natumia igram ya kiume lakini na nipo clear tu plus maunene yangu? hutumii kitu chochote cha limao?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana, niliwai kutumia kipindi cha nyuma sanambona mi natumia igram ya kiume lakini na nipo clear tu plus maunene yangu? hutumii kitu chochote cha limao?
[emoji23] [emoji23]Nakuja PM mkuu, usijali.
Ndo hapo ssakuna mtu anaamini avatar?
unatumia sabuni gani kuogea?Hapana, niliwai kutumia kipindi cha nyuma sana
unasemaje?Miss Natafuta
[emoji23] [emoji23]
Nasikia zinauzwa laki moja.tafuta ile original jaribu kwenda zuri akama upo dsm zinapatikana pale
Bei yake ilivyo kubwa ataiweza?Tumia 'Parachutè'
Uko poa? Ninashida naomba niku pmunasemaje?
Teh teh..Dokta ukitumiwa nirushie basi..Au hautoi siri za wagonjwa?Weka picha tuone ili tukupe ufumbuzi ambao unalingana na tatizo.
poa karibu ila usinitongozeUko poa? Ninashida naomba niku pm
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]poa karibu ila usinitongoze
usiwe unaacha ngozi ikauke sana paka mafuta ya kutosha ila yasiwe mkorogo,paka bio oil ,mafuta ya nazi ,tumia body cream kama nivea ,vaseline au igramHapana, niliwai kutumia kipindi cha nyuma sana
poa karibu shosti[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Asante ila mi wa kike jamani
Dettol soapunatumia sabuni gani kuogea?