miss_blossom
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 1,607
- 2,150
Unajua kipato changu?Bei yake ilivyo kubwa ataiweza?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajua kipato changu?Bei yake ilivyo kubwa ataiweza?
Hapo ndo nilinunua lotion nayotumia vitu vyao vina bei sanaau kama mwanza kuna duka la SH Amon sema wao wanaweza uza bei zaid
KwnnUngekuwa mpenzi wangu ningekwambia usiitoe
kwanini unaogea sabuni hyo mdada mtu mzima kwani unaumwa ngozi kila siku? labda ndo sababuDettol soap
Napenda kuiangaliaKwnn
Hapana n sabun ambayo natumia muda ssa. Kwn ina madhara?kwanini unaogea sabuni hyo mdada mtu mzima kwani unaumwa ngozi kila siku? labda ndo sababu
AiseeNapenda kuiangalia
hee kumbe unaogopagapoa karibu ila usinitongoze
unaweza kutumia panadol kila siku?Hapana n sabun ambayo natumia muda ssa. Kwn ina madhara?
Hii kiboko, nilikua nayo michirizi ya uzazi tumboni nikapaka parachute kimasihara sihara tu imeondoa sa hivi inaonekana kwa mbaliii....ila kama ni michirizi ya kujichubua sidhaniTumia 'Parachutè'
Hapanaunaweza kutumia panadol kila siku?
LolWeka picha tuone ili tukupe ufumbuzi ambao unalingana na tatizo.
Sio ya kujichubua mpnz.Hii kiboko, nilikua nayo michirizi ya uzazi tumboni nikapaka parachute kimasihara sihara tu imeondoa sa hivi inaonekana kwa mbaliii....ila kama ni michirizi ya kujichubua sidhani
ahaaa nina mafuta ya nywele aina tatu,ya kurefusha ,ya mba na ya kuzuia kukatikaHii tabia yakuchanganya
Mafuta 7 kwa wakat mmoja
Plus sabuni
Ndo huleta shida zote
Habari zenu wapendwa wangu....
mwenzenu nasumbuliwa na michirizi mwilini na ninaona inazidi kutokea. hipi ni njia sahihi ya kuiondoa hii mivitu.
ushauri tafadhali.
Naona jinsi avata yko inavoonyesha ualisiaIzo avata mnazoweka angalau ziwe zinaonyesha uhalisia.
ila nimependa jinsi ulivyo mkweli.
Make mwingine angesema kuna ndugu yangu anasumbuliwa ...
unajua kazi ya detol?Hapana