Jinsi ya kufuta na kuondoa Michirizi (Stretch Mark) kwenye ngozi

Jinsi ya kufuta na kuondoa Michirizi (Stretch Mark) kwenye ngozi

Hii tabia yakuchanganya
Mafuta 7 kwa wakat mmoja
Plus sabuni

Ndo huleta shida zote
 
Tumia 'Parachutè'
Hii kiboko, nilikua nayo michirizi ya uzazi tumboni nikapaka parachute kimasihara sihara tu imeondoa sa hivi inaonekana kwa mbaliii....ila kama ni michirizi ya kujichubua sidhani
 
Hii kiboko, nilikua nayo michirizi ya uzazi tumboni nikapaka parachute kimasihara sihara tu imeondoa sa hivi inaonekana kwa mbaliii....ila kama ni michirizi ya kujichubua sidhani
Sio ya kujichubua mpnz.
 
Hii tabia yakuchanganya
Mafuta 7 kwa wakat mmoja
Plus sabuni

Ndo huleta shida zote
ahaaa nina mafuta ya nywele aina tatu,ya kurefusha ,ya mba na ya kuzuia kukatika
usoni nina paka aina mbili
mikono napaka aina moja na kucha mengine na kwapa mengine
mapaja na chura napaka mengine
miguu napaka mengine ,unyayo napaka mengine na kucha za miguu napaka mengine
 
Michirizi inatofautiana mkuu, unaweza ukashauri dawa kwa ajili ya michirizi ya aina nyingine ukamsababishia matatizo ya ngozi, ndo maana inabidi tuwe specific.
ha ha ha ha maelezo yote hayo ili utumiwe picha dadekii kwel umekwivaaa
Cc Asprin
 
Habari zenu wapendwa wangu....
mwenzenu nasumbuliwa na michirizi mwilini na ninaona inazidi kutokea. hipi ni njia sahihi ya kuiondoa hii mivitu.
ushauri tafadhali.

Wacha kutoa hayo mautamu wewe, wewe wa wapi? Kama sababu ni huyo uliyenae ndio haitaki, basi mimi nakufungulia milango kwangu kwanzia muda huu
 
Back
Top Bottom