jebs2002
JF-Expert Member
- Sep 3, 2008
- 9,604
- 8,812
Mazoezi tu mama, tembea kimbia acha vinono...periodHabari zenu wapendwa wangu....
mwenzenu nasumbuliwa na michirizi mwilini na ninaona inazidi kutokea. hipi ni njia sahihi ya kuiondoa hii mivitu.
ushauri tafadhali.