Jinsi ya kufuta na kuondoa Michirizi (Stretch Mark) kwenye ngozi

Mimi kwa uzoefu wangu hizo kitu huwa hazifutiki kabisa, tumia kila ukijuacho. Muhimu ipende ngozi yako na usichanganye madawa, hapa huchelewi kupewa mkorogo.
Ni kweli... Hua haitoki na inazid kadri unavonenepa.. Watu wengine tu wanajaliwa kutokuwa nazo. Usipende kuiga sana kila unachoambiwa, ngozi zetu zimetofautiana. Usijiharibu ulivo mamito ukajuta
 
Wewe unayo?
 
ahaaa nina mafuta ya nywele aina tatu,ya kurefusha ,ya mba na ya kuzuia kukatika
usoni nina paka aina mbili
mikono napaka aina moja na kucha mengine na kwapa mengine
mapaja na chura napaka mengine
miguu napaka mengine ,unyayo napaka mengine na kucha za miguu napaka mengine
Yeleuuuwiiiiiiii

Sasa papuch unapaga gani

Af ndo maana mnababuka mapaja
Hiv kumbe
 
Ni kweli... Hua haitoki na inazid kadri unavonenepa.. Watu wengine tu wanajaliwa kutokuwa nazo. Usipende kuiga sana kila unachoambiwa, ngozi zetu zimetofautiana. Usijiharibu ulivo mamito ukajuta
haihusiani na unene mimi ni linene ila sina michirizi mamy
 
Ila iwe baadhi ya maeneo..Sio mwili mzima kama Pundamilia

ScarAcneStretchmarks.jpg
 
Back
Top Bottom