Jinsi ya kufuta na kuondoa Michirizi (Stretch Mark) kwenye ngozi

Mwingine anapata michirizi baada ya kuzaa, ila zamani mtu anazaa watoto 7 ila humkuti hata na kimstari kimoja.

Wapo wanaopaka baby care na wana michirizi.
Uliwahi kuwachunguza hao wa zamani?
 
Uliwahi kuwachunguza hao wa zamani?
Nina mabibi...mama zangu...shangazi...halafu mtoto wa kike lazima tukikaa na watu wazima tuwaulize waulize.....na wote hao hawajawai kuwa na michirizi, kwanza wengine hawajui hata michirizi ni kitu gani!!!
 
Habari wana JF,

Kuna kitu najiuliza mbona wamama wa zamani hawakua na michirizi kama ambavyo wa siku hizi wanayo? Nimekaa nimetafakari karibia wanawake wote watu wazima ninaowafahamu hawana hii michirizi.

Ila kwa sasa hivi almost wanawake wengi wanayo, utakuta mtu hatumii cream ni mweusi lakini ana michirizi, inaeza kuwa inasababishwa na nini, vyakula tunavyokula au kitu gani?
Ila michirizi hiyo nadhani niyo ile ambayo wazee wa kachumbari tunaita "MICHIRIZI YA UTAMU"
yaani hiyo wengine wakiiona ndo mpaka wanakata network kabisa , ila michirizi ya utamu mitamu aisee.
 
Hizo ni stretch marks....zilikuwepo,zipo na zitakuwepo

"Striae" is also a general term referring to thin, narrow grooves or channels, or a thin line or band especially if several of them are parallel or close together.

Stretch marks, also known as striae, are a form of scarring on the skin with an off-color hue. Over time they may diminish, but will not disappear completely. Stretch marks formed during pregnancy, usually during the last trimester, and usually on the belly, but also commonly occurring on the breasts, thighs, hips, lower back and buttocks, are known as striae gravidarum.[1]

Stretch marks are caused by tearing of the dermis. This is often from the rapid stretching of the skin associated with rapid growth or rapid weight changes. Stretch marks may also be influenced by hormonal changes associated with puberty, pregnancy, bodybuilding, or hormone replacement therapy.[2]

There is no evidence that creams used during pregnancy prevent stretch marks.[3] Once they have formed there is no clearly useful treatment though various methods have been tried.[4]

Soma kwenye Wikipedia.
 
Wanawake wengi siku hizi wana michirizi mingi yaani akivua nguo utafikiri alichapwa na mijeledi ya mikanda ya faru au minyororo.

Kwakweli inawaharibu sana.

Nafikiri sababu ni ulaji wa hovyohovyo hasa vyakula vya mafuta pamoja na vipodozi.
 
Ntapita nisome ingawa na hapa umenifumbua macho kiasi flani.
 
Ila michirizi hiyo nadhani niyo ile ambayo wazee wa kachumbari tunaita "MICHIRIZI YA UTAMU"
yaani hiyo wengine wakiiona ndo mpaka wanakata network kabisa , ila michirizi ya utamu mitamu aisee.
Wanaume mna vituko, eti michirizi ya utamu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mmhh stretch marks ina mtu na mtu.. kuna wengine hata hvyo vipodozi vikali hawatumii... kuna mwanamziki mmoja mwanaume wa wcb nimeonaga kwenye picha anazo makwapani... naye ni vipodozi??? Nauiliza tuuuuu!!!!
 
Wanawake wengi siku hizi wana michirizi mingi yaani akivua nguo utafikiri alichapwa na mijeledi ya mikanda ya faru au minyororo.

Kwakweli inawaharibu sana.

Nafikiri sababu ni ulaji wa hovyohovyo hasa vyakula vya mafuta pamoja na vipodozi.
Inatia hadi kichefu chefu tena ukute ile ambayo inatokana na kujichubua unaeza tapika, bora inayotokana na uzazi inakua haitishi sana.
 
Wanaume mna vituko, eti michirizi ya utamu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aaaaaa..............ina utamu wake hiyo michirizi esp ya nyuma ya goti na ya kwenye mapaja
ila sio ya kwenye tumbo maana ya tumboni ina rostisha.
 
Back
Top Bottom