Uliwahi kuwachunguza hao wa zamani?Mwingine anapata michirizi baada ya kuzaa, ila zamani mtu anazaa watoto 7 ila humkuti hata na kimstari kimoja.
Wapo wanaopaka baby care na wana michirizi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uliwahi kuwachunguza hao wa zamani?Mwingine anapata michirizi baada ya kuzaa, ila zamani mtu anazaa watoto 7 ila humkuti hata na kimstari kimoja.
Wapo wanaopaka baby care na wana michirizi.
Nina mabibi...mama zangu...shangazi...halafu mtoto wa kike lazima tukikaa na watu wazima tuwaulize waulize.....na wote hao hawajawai kuwa na michirizi, kwanza wengine hawajui hata michirizi ni kitu gani!!!Uliwahi kuwachunguza hao wa zamani?
Sio wanawake wote wanayo mamy, ingawa asilimia kubwa wanayo.Mbona mim sina michirizi waungwana
Oooh nimekupatSio wanawake wote wanayo mamy, ingawa asilimia kubwa wanayo.
Ila michirizi hiyo nadhani niyo ile ambayo wazee wa kachumbari tunaita "MICHIRIZI YA UTAMU"Habari wana JF,
Kuna kitu najiuliza mbona wamama wa zamani hawakua na michirizi kama ambavyo wa siku hizi wanayo? Nimekaa nimetafakari karibia wanawake wote watu wazima ninaowafahamu hawana hii michirizi.
Ila kwa sasa hivi almost wanawake wengi wanayo, utakuta mtu hatumii cream ni mweusi lakini ana michirizi, inaeza kuwa inasababishwa na nini, vyakula tunavyokula au kitu gani?
Tutaamini vipi bila picha?[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Mbona mim sina michirizi waungwana
Ngoja nakutumia[emoji125]Tutaamini vipi bila picha?[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Ntapita nisome ingawa na hapa umenifumbua macho kiasi flani.Hizo ni stretch marks....zilikuwepo,zipo na zitakuwepo
"Striae" is also a general term referring to thin, narrow grooves or channels, or a thin line or band especially if several of them are parallel or close together.
Stretch marks, also known as striae, are a form of scarring on the skin with an off-color hue. Over time they may diminish, but will not disappear completely. Stretch marks formed during pregnancy, usually during the last trimester, and usually on the belly, but also commonly occurring on the breasts, thighs, hips, lower back and buttocks, are known as striae gravidarum.[1]
Stretch marks are caused by tearing of the dermis. This is often from the rapid stretching of the skin associated with rapid growth or rapid weight changes. Stretch marks may also be influenced by hormonal changes associated with puberty, pregnancy, bodybuilding, or hormone replacement therapy.[2]
There is no evidence that creams used during pregnancy prevent stretch marks.[3] Once they have formed there is no clearly useful treatment though various methods have been tried.[4]
Soma kwenye Wikipedia.
Wanaume mna vituko, eti michirizi ya utamu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila michirizi hiyo nadhani niyo ile ambayo wazee wa kachumbari tunaita "MICHIRIZI YA UTAMU"
yaani hiyo wengine wakiiona ndo mpaka wanakata network kabisa , ila michirizi ya utamu mitamu aisee.
Mmh mpe pole, bora awe nayo mwanamke.Kuna rafiki yangu ni wakiume anahiyo michirizi kama ya wadada,nafikiri mara nyingi mtu akiwa kigonge ndiyo inamtokea.
Maeneo mbali mbali ya mwili.michirizi nyuma ya goti au....?
Inatia hadi kichefu chefu tena ukute ile ambayo inatokana na kujichubua unaeza tapika, bora inayotokana na uzazi inakua haitishi sana.Wanawake wengi siku hizi wana michirizi mingi yaani akivua nguo utafikiri alichapwa na mijeledi ya mikanda ya faru au minyororo.
Kwakweli inawaharibu sana.
Nafikiri sababu ni ulaji wa hovyohovyo hasa vyakula vya mafuta pamoja na vipodozi.
Aaaaaa..............ina utamu wake hiyo michirizi esp ya nyuma ya goti na ya kwenye mapajaWanaume mna vituko, eti michirizi ya utamu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naingoja...Ngoja nakutumia[emoji125]