Jinsi ya kufuta na kuondoa Michirizi (Stretch Mark) kwenye ngozi

Jinsi ya kufuta na kuondoa Michirizi (Stretch Mark) kwenye ngozi

Ni kufanya mazoezi...mwili ukipungua stretch marks zinapotea kwani hizo marks ni dalili ya mwili kuongezeka kuliko ukubwa wa ngozi, hivyo kulazimisha ngozi kutanuka na kwa wengine uchanika kabisa.
 
Naona wadada wengi wana michirizi kibao nadhani ni makemiko wanayotumia kwenye ngozi......Nawashauri waachane na mikemikali kwenye ngozi....

Wengine sio chemicals my dear ni maumbile tu. nina stretch marks since 12yrs wakati huo sijui hata mafuta mengine zaidi ya vaseline. nimezizoea sasa kama part ya maisha mwili wangu ambayo siwezi change!
 
wataalam wanasema,huwa hazitoki moja kwa moja bali hupungua kwa baadhi ya mafuta kama bio oil,cocoa butter palmers,na vingine vya asili ila huchukua miaka mingi sana..siyo paka leo kesho utake majibu hapana.Pia mazoezi maji mengi na matunda husaidia,vingine check google
 
Naona wadada wengi wana michirizi kibao nadhani ni makemiko wanayotumia kwenye ngozi......Nawashauri waachane na mikemikali kwenye ngozi....

sio wote makemiko wengi wao ni kunenepa mwili unatanuka ndio maana ila wa kemiko waale mistari inakuwa myekundu na minene...
 
dah we unaitoa wakati wengine wanaipenda na kuitafuta?inaitwa ni mistari ya utamu...
 
Habari wakuu, nna jamaa angu ana stretch marks nying sehemu kama za maeneo ya kwapa ivi, nyuma ya magoti na sehemu nyingine. Anauliza kama kuna mtu anafahamu dawa ya kuondoa hili tatizo.

Asanten.

Sent from my BlackBerry 9930 using JamiiForums

ila kuna watu wanatumia bio oil nasikia inawasaidia na wengine wanatumia palmers lotion strechmark remover inawasaidia
 
Hilo tatizo mara nyingi linawapata wanawake (hasa baada ya kujifungua japo linaweza kuja mapema zaidi ya hapo) kitaalamu linaitwa VARICOSE VEIN,,linatokana na damu kushindwa kupanda/kurudi vizuri kwenye moyo kupitia mishipa ya vena,,hivyo ili kuondoa tatizo hilo kuna aina ya socks ambazo mhusika anatakiwa azivae ili kusaidia mzunguko wa damu,,,pia kuna aina ya cream zinaitwa Heparin (Lioton) ambayo unaipaka eneo husika mara mbili kwa siku,,,,hii inapatikana katika Pharmacies. Nawasilisha.
 
ahsante madam.
Nahisi ni maumbile tu, kama ni mnene pia husababishwa na kutanuka kwa ngozi. Dawa ziliopo hazisaidii kivile au inachukua muda mrefu, kama mafuta yenye vitamin E, dawa inayosadikika kwa sasa ni laser.
 
stretchmarks kwa kiswahili ndo michirizi ya utamu?
 
Wakuu okoeni ndoa ya mdogo wangu.Mume wake anakerwa na michirizi ya baada ya kujifungua.Tutumie\tufanye nini?
 
hiyo ni tunu na huongeza hamu ya kutombana, mumewako katoka kileji nini? ni inbox kama vipi napenda san hiyo kitu walah nitakuonyesha namna ya kutukuza hiyo kitu
 
inawezekana jamaa katoka gezaulole jana hiyo kitu inasaidia sana kwani ukiangalia iyo mistari wakati wa kunjikuli unaweza kufika mwanza kutokea Dar kwa kutambaa
 
Salaam wote,naomba kufahamishwa vimichirizi vifupi vyeusi kwenye mwili hasa sehemu za kiunoni na hips na mapajani husababishwa na nini,na je zipo njia za kuifanya michirizi hyo iishe na mwili uwe kawaida?asanteni
 
kwa maelezo yako yaonyesha jinsi ulivyo shiba (mnene), cha kufanya ni kupunguza mwili. hiyo michilizi huitwa striae. angalia unene ni hasara, kwani matokeo yake ni magonjwa kukuletea.!!
 
Solarpanel

images
stretch_marks.jpg

Stretch marks or striae (singular stria)
, as they are called in dermatology, are a form of scarring on the skin with an off-color hue. They are caused by tearing of the dermis, which over time may diminish, but will not disappear completely.

Stretch marks are often the result of the rapid stretching of the skin associated with rapid growth or rapid weight changes. Stretch marks may also be influenced by hormonal changes associated with puberty, pregnancy, bodybuilding, hormone replacement therapy, etc.

Medical terminology for these kinds of markings includes striae atrophicae, vergetures, stria distensae, striae cutis distensae, lineae atrophicae, linea albicante, or simply striae. Stretch marks formed during pregnancy, usually during the last trimester, and usually on the belly, but also commonly occurring on the breasts, thighs, hips, lower back and buttocks, are known as striae gravidarum.

More Link: http://en.wikipedia.org/wiki/Stretch_marks

asante mkuu ni exctly kama hiyo ya hapo picha ya pili,na wala mimi huwezi niweka kwenye kundi la watu wanene kamwe,hii ililetwa na ujauzito,nashukuru,sasa nifanyeje iishe?
 
Back
Top Bottom