Jinsi ya kufuta na kuondoa Michirizi (Stretch Mark) kwenye ngozi

c utusaidie hapa hapa mok kutafutana tena?au dawa ina masharti mpk umpake mwenyewe mgonjwa?

Hahahahaaa.,

wenye shida hyo ya michiriz kweny ngozi wanitafute ninaweza kuwasaidia..
0754229745

Mkuu mwaga hapa hapa jukwaani watu tufaidike basi.

mim napenda ile ya nyuma ya goti

Ile ya nyuma ya goti ni michirizi ya utamu., sasa hapa tunazungumzia michirizi ya karaha ambayo ni kutokana na ngozi kupasuka
 
Habari za hapa wakuu.

Mimi ni mama wa mtoto mmoja, nimejikuta (baada ya kujifungua) nina michirizi/mpasuko wa ngozi au stretch mark kama wengine waziitavyo kitu ambacho kimesababisha tumbo langu kulegea sana nimejaribu kufanya mazoezi ili lirudi kwenye hali yake ya kawaida imeshindikana.

Naomba kama yupo anayefahamu dawa yake tadhali anisaidie hasa, hasa @JF Doctor asanteni sana.
 
Pole sana ila kuna tofauti ya nyama kulegea na stretch marks,hivyo basi kama unataka za kupunguza tumbo ni aloe body toning kit 150,000 product za forever living na ya kuondoa stretch marks ni alfa factor 58,500 kama utataka utanipm.
 
Stretch marks ndiyo zinazosabisha tumbo kulegea, hizo product za aloe vera nimezitumia zaidi ya mwaka sasa. Nilielekezwa kutumia mchanganyiko wa Alfa E factor, R3 factor, propolis cream, aloe moisturising, liquid soap, A beta care, na Absorbent C.

Mpaka sasa sijaona badiliko la tatizo langu isipokuwa ngozi kuwa laini na yenye kuang'aa vizuri. Asante kwa ushauri wako.
 
kweli dozi umeikamilisha kama umetumia hivyo, kama utakuwa na pesa hebu jaribu toning kit ufuate utaratibu nyama zitakaza kabisa,ukipata niambie nikutumie video za jinsi ya kutumia.
 
Fanya mazoezi..pia pasha mafuta ya nazi uwe unafanya massage yanasaidia sana.
 
Pole sana ila kuna tofauti ya nyama kulegea na stretch marks,hivyo basi kama unataka za kupunguza tumbo ni aloe body toning kit 150,000 product za forever living na ya kuondoa stretch marks ni alfa factor 58,500 kama utataka utanipm.

Hakuna dawa ya kuondoa stretch marks,acha uongo.Bio oil ndio angalau inazifanya zisionekane vibaya.kuondoa stretch marks ni kufanya upasuaji tu.
 
Habari za hapa wakuu.

Mimi ni mama wa mtoto mmoja, nimejikuta (baada ya kujifungua) nina michirizi/mpasuko wa ngozi au stretch mark kama wengine waziitavyo kitu ambacho kimesababisha tumbo langu kulegea sana nimejaribu kufanya mazoezi ili lirudi kwenye hali yake ya kawaida imeshindikana.

Naomba kama yupo anayefahamu dawa yake tadhali anisaidie hasa, hasa @JF Doctor asanteni sana.

Dada naomba tulia hapa tz hamna na duniani kote hakuna dawa ya kuondoa stretch marks,utatapeliwa tuu.Dawa ni surgery tuu.nilitumiaga dola 1000 kwa girl friend wangu na hamna kitu,alitumia hadi vipodozi toka US.
 
Hakuna dawa ya kuondoa stretch marks,acha uongo.Bio oil ndio angalau inazifanya zisionekane vibaya.kuondoa stretch marks ni kufanya upasuaji tu.

Kupona sio siku moja ,pia malizia dozi yako maana hata hizo forever kwao ni US,pia wewe jaribu na toning kit utaniambia,ila kadri siku zinavosogea utakuwa unaemprove.
 
Dada naomba tulia hapa tz hamna na duniani kote hakuna dawa ya kuondoa stretch marks,utatapeliwa tuu.Dawa ni surgery tuu.nilitumiaga dola 1000 kwa girl friend wangu na hamna kitu,alitumia hadi vipodozi toka US.

Kaka yangu nakushukuru sana kwa ushauri wako.
 
Kupona sio siku moja ,pia malizia dozi yako maana hata hizo forever kwao ni US,pia wewe jaribu na toning kit utaniambia,ila kadri siku zinavosogea utakuwa unaemprove.

Nashukuru Kaka kwa ushauri ila kwa FLP Product yatosha kwa muda niliotumia na gharama, labda kwa product tofauti.
 
Mwili unawasha sana. Ukijikuna kunatoka michirizi kama umechapwa fimbo. Hositali walishauri na kunipa dawa ya minyoo. Nimetumia lakini wapi..hali ile ile.
Ushauri.
 
Pole sanaa jipake majivu inasaidia kupunguza muwasho
 
Back
Top Bottom