Jinsi ya kuhakikisha kama Perfume yako uliyonunua ni Original au Fake na muda wa Ku-Expire

Jinsi ya kuhakikisha kama Perfume yako uliyonunua ni Original au Fake na muda wa Ku-Expire

Aquatic

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2013
Posts
716
Reaction score
269
Leo wadau napenda kushare ni jinsi gani utaweza kutambua km pefrume au bidhaa yoyote inayohusu utunzaji wa afya ya mwili km vile lotion,perfume,lipstip kwa wadada na bidhaa zingine km hizo zinazo uzwa madukani km ni original au fake kulingana na brand name ya bidhaa uliyonunua,wengi wananunua bidhaa zenye brand name kubwa na zenye gharama lakini hawajui ni jinsi gani au wapi pakwenda kuzihakiki bidhaa hizo.Watu walio wengi wanatathimini bidhaa hizo kutokana na bei wanazonunulia au bei za bidhaa hizo zinavyouzwa madukani,hata hivyo yapo baadhi ya maduka uuza bidhaa fake kwa gharama zilezile za bidhaa original.
Pia bdhaa nyingi km hizo hazionyeshi kiwango cha muda unachotakiwa kutumia( Expire date) kunako kupelekea mtumiaji kutumia bidhaa hiyo hata km ubora wake umeshakwisha especial perfume na lotion.

TAMBUA SASA UHALALI WA BIDHAA YAKO NA MUDA WA MATUMIZI ULIOBAKI.

Kwa mfano umenunua perfume zifuatazo:-
images
DKNY-City-for-Men-2013.1000x1000.JPG

images
Aigner-Starlight-500x500.jpg


STEP 1: Tambua jina halali wa mmiliki wa bidhaa hiyo kwa mfano DKNY inamilikiwa na DONNAN KARAN, 212 by CAROLINA HERRERA, AQUA DI GIO by GIORGIO ARMAN kwa urahisi angalia katika box la bidhaa hiyo.

STEP 2:- Nakili Brand/batch code ya bidhaa hiyo chini ya box au chini ya chupa utaona tarakimu kadhaa
images


STEP 3:- ingia hapa Find cosmetics production and expiry date by the batch code nenda kwenye sehemu iliyoandikwa cosmetic calculator chagua jina la brand name ya bidhaa yako kwa mfano Carolina herrera nk. kisha jaza brand code ya bidhaa hiyo mwisho bonyeza kitufe cha calculate,hapo itakutambulisha km bidhaa yako mmiliki huyo anaitambua au laa na pia utapatiwa muda uliobaki wa bidhaa kuitumia (expire date ).

TCHAO........
 

Attachments

  • Snapshot_20140705.jpg
    Snapshot_20140705.jpg
    38.4 KB · Views: 1,949
Wao wameorodhesha perfum zao tu, nimejaribu kutafuta rasasi sijaona, nafanya vipi?
 
Perfume nyingi zinazokuja TZ zimeshaexpire au batch number ni fake,muda wa perfume kutumika ni miaka 3 toka itengenezwe yaani miezi 36,ukibahatika kukuta perfume yako original may be imebakiza miezi 2 au 1 ku-expire
 
General shelf life: 36 months
outdated.png
It looks like your product was manufactured more than 3 years ago






General shelf life: 36 months

ok.png
Valid at least for the next
7 Months

 
Wao wameorodhesha perfum zao tu, nimejaribu kutafuta rasasi sijaona, nafanya vipi?
kk hiyo mizigo uwiyonayo hapo ndio viwango vya kimataifa....Rasasi wanaburuza africa na UAE,chagua kichaka kati ya vichaka hivyo........
 
Back
Top Bottom