The Teacher
Senior Member
- Feb 2, 2013
- 176
- 81
Nimedownload barcode reader, please nielekeze namna ya kuitumia.kutambua bidhaa fake na expire date zake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Perfume nyingi zinazokuja TZ zimeshaexpire au batch number ni fake,muda wa perfume kutumika ni miaka 3 toka itengenezwe yaani miezi 36,ukibahatika kukuta perfume yako original may be imebakiza miezi 2 au 1 ku-expire
Eti niliyoagiza UK! Kwani nyingine zinatokaga bulyanghulu. au nzega.Noma sana..nimetest Hugo boss nilinunua s.h amon mzigo haujasoma. .nikatest tom Ford noir niliyoagiza u.k naambiwa inaonekana ilitengenezwa 2010. ..siku hizi nikienda kununua ntatumia hii calculator Hahaha ha...anyway bora kunukia kwanza kutokana na mazingira ya kibongo
Kama unatumia smart phone , just download barcode reader itakusaidia kucheki products zote...
Eeeeh si TBS watumie hyo system kuondoa uchafu madukani
Ipo kazi hapa!!!!
Wenye ujasiri wa kutupa baada ya zoezi kukamilika mpooooooooooo?????!!!
Za Kwe2 Cjaziona Casabranca Na Boss
Noma sana..nimetest Hugo boss nilinunua s.h amon mzigo haujasoma. .nikatest tom Ford noir niliyoagiza u.k naambiwa inaonekana ilitengenezwa 2010. ..siku hizi nikienda kununua ntatumia hii calculator Hahaha ha...anyway bora kunukia kwanza kutokana na mazingira ya kibongo
nina uhakika na fragrance zangu kwa sababu duka nililonunua HAWAWEZI KUUZA FAKE!!! na nimeziangalia zote zina barcode lakini hazina expiry date. Hivi perfume ina expire???
Back in the days nilipokuwa nabeba box nilikuja bongo likizo,nikaacha sanduku zima home,lina vitu zikiwemp colognes kadhaa...nikarudi after 3 yrs na nikazikuta vile vile na harufu ile ile sasa kama ni kitu cha kuexpire zingekuwa zishaharibika ningejua tu hata kwa harufu au coloration or discoloration.....
Ha haaaa watu watundu sana! !!!!Izo za kwenu rasasi,tafuta kioo alafu ipulizie ukiona inachuruzika kama jasho,ujue ni feki iyo kwa viwango vyenu...yaani wamezidisha maji.
Ipo kazi hapa!!!!
Wenye ujasiri wa kutupa baada ya zoezi kukamilika mpooooooooooo?????!!!
Izo za kwenu rasasi,tafuta kioo alafu ipulizie ukiona inachuruzika kama jasho,ujue ni feki iyo kwa viwango vyenu...yaani wamezidisha maji.
ku-expire kwa perfume kunapelekea perfume kupoteza ufanisi wake ule uliokusudiwa kama ilikuwa na uwezo wa kudumu masaa 24 hrs masaa yanaweza pungua na zingine zinabadili harufu kwa kiwango fulani,mm nilinunua EUPHORIA FOR MEN ambayo ilikuwa emepita muda wake acha tu ful kuumwa na kichwa ila sasa nimepata mzigo wenyewe ful burudaninina uhakika na fragrance zangu kwa sababu duka nililonunua HAWAWEZI KUUZA FAKE!!! na nimeziangalia zote zina barcode lakini hazina expiry date. Hivi perfume ina expire???
Back in the days nilipokuwa nabeba box nilikuja bongo likizo,nikaacha sanduku zima home,lina vitu zikiwemp colognes kadhaa...nikarudi after 3 yrs na nikazikuta vile vile na harufu ile ile sasa kama ni kitu cha kuexpire zingekuwa zishaharibika ningejua tu hata kwa harufu au coloration or discoloration.....