Jinsi ya kuhakikisha kama Perfume yako uliyonunua ni Original au Fake na muda wa Ku-Expire

Teh teh teh...wala vumbi bana.

Wenzenu tukitaka kununua colognes, say labda Hermes, naenda moja kwa moja kwenye duka la Hermes.

Nikitaka Molton Brown..naenda moja kwa moja kwenye flagship store ya Molton Brown.
 
kwa kule majuu ebay ndio mahala panapoongoza kwa watu kupigwa perfume fake....wanashauri mizigo km unataka kununua online nunulia Amazon...
 
acha ushamba wewe....tunakula vumbi na tunanunua perfume kutoka DEBENHAMS,HOUSE OF FRASER,JOHN LEWIS maduka mengi tu ya maana....dunia kama kijiji siku hizi achilia mbali to/fro all over the world!
 
Hongera!
 
kwa kule majuu ebay ndio mahala panapoongoza kwa watu kupigwa perfume fake....wanashauri mizigo km unataka kununua online nunulia Amazon...

kuna uzi humu kuhusu e bay...nilitaka nichangie kuhusu vitu fake vya e bay lakini nikiangali mlengo wa thread nilijua nitawavuruga...usemacho ni kweli.
 
kwa kule majuu ebay ndio mahala panapoongoza kwa watu kupigwa perfume fake....wanashauri mizigo km unataka kununua online nunulia Amazon...

Ukiwa majuu kwa nini mtu ununue cologne au perfume eBay wakati unaweza kwenda kwenye store na kununua papo hapo kitu genuine?

Mtu wa hivyo lazima atakuwa mshamba huyo.
 
We nani atupe!!!!!kikubwa kunukia vizuri mkuu hayo mengine tutayazingatia kwenye manunuzi safari ijayo...nasikitika hajaweka Blue 4 men au haina viwango???
Tupa mkuu mambo ya nasal polyps na sinusitis!!!
 
Back
Top Bottom