Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Ndio maana sinunui perfume nchi hiiAfanaleki
Sinunui tena.....
Ngoma imeeksipaya
Teh teh teh...wala vumbi bana.
Wenzenu tukitaka kununua colognes, say labda Hermes, naenda moja kwa moja kwenye duka la Hermes.
Nikitaka Molton Brown..naenda moja kwa moja kwenye flagship store ya Molton Brown.
acha ushamba wewe....tunakula vumbi na tunanunua perfume kutoka DEBENHAMS,HOUSE OF FRASER,JOHN LEWIS maduka mengi tu ya maana....dunia kama kijiji siku hizi achilia mbali to/fro all over the world!
kwa kule majuu ebay ndio mahala panapoongoza kwa watu kupigwa perfume fake....wanashauri mizigo km unataka kununua online nunulia Amazon...
kwa kule majuu ebay ndio mahala panapoongoza kwa watu kupigwa perfume fake....wanashauri mizigo km unataka kununua online nunulia Amazon...
Tupa mkuu mambo ya nasal polyps na sinusitis!!!We nani atupe!!!!!kikubwa kunukia vizuri mkuu hayo mengine tutayazingatia kwenye manunuzi safari ijayo...nasikitika hajaweka Blue 4 men au haina viwango???
hii Simla sijaona kabisa.