Jinsi ya kuishi na mwanamke kwa furaha na amani katika ndoa

Mkuu acha kumsema hivi mke wako na mama wa watoto zako...wengine walionyamaza hapa sio kwamba hawana majaribu... pengine wanayo makubwa zaidi yako..lkn wameamua kusitiri wake zao..ndoa zina mambo mengi..Maombi ni silaha.
Hana mke huyu ww unafikili kuwa na mke mchezo??????
 
Kwenye kupretend ndo huwa ziwezagi. Akipika vizuri ntamwambia na akipika vibaya ntamwambia pia kama anachukia achukie tu..kifupi akizingua we endelea na mambo yako . ILA ukiona hakufai tena ni bora umwache aende zake ubaki na watoto kuliko kumtangaza vibaya. Mwanamke ana thamani sana duniani pamoja na mapungufu aliyonayo. Kuvumilana ndo kitu kikubwa sana. ILA mind you kama ukiona mwanamke wako kabadilika to the maximum, ujua kuna jambo linaendelea na sana sana anakua kashapata anayempenda zaidi Yako. Huwa hawezi kubalance akiwa na wanaume zaid ya mmoja. Atakutaftia sababu tu ili umwache..
 
Haswaaa. You remind me when mahusiano yalipokuwa yanakaribia kuvunjika. Alikuwa alienda kulala kwa mwanaume mwingine, asubuh akiamka anapita huko ndio aende kazini. Nikamtega nikawahi kazin kwao, kumbe hajafika, nikimpigia anasema yuko kazin, mara pap kaja kanikuta oficn aloooo alihamaki huyo,akawa anatetemeka kweli. Uzur ushahid ninao nikamuonesha na from that day sikumpigia tena. Even leo akiniona ananikwepa njian
 
Pole boss lakini ndo hivyo. Sasa ni bora waseme kuliko kutuumiza wanaume. MTU unaumia kufikiri kuwa mke ana nini kumbe ana MTU mwingine. Unajitahidi kufanya kila kitu cha kumfurahisha hata Gari utamnunulia lakini wapi. Bora watuambie mapema kwamba hamna tena mapenzi yani yakeshifti kuliko kututesa. Waseme tu japo inaumiza.
 
Mtu mwenye hekima humweleza wazi mwenzake kwann amekasirika.....
Well hawa viumbe wengi wao hekima hawana. Kununa ku nzima alaf ukiwauliza tatizo wanasema wako sawa.
Aisee mm huwa nauliza mara mbili tu. Akiendelea namuacha apambane na hali yake.
 
Hiyo "mechi adimu" unayodai kupiga una uhakika kweli ilikuwa adimu? Isije kuwa una ugonjwa unaoitwa kibamiaosis ndio maana alikununia baada ya mechi. Napita
 
Kati ya wanaume 100 ni mmoja tu ndio anaweza fanya hivyo kwa kwewe
 
Ndoa zinakuwaga ngumu pale tu mwanaume kujiona yeye ni bora kuliko mkewe ..(kujiona yeye ana uhuru kwa kufanya kila kitu na kucht lakini sio mkewe ) usilo penda kufanyiwa usimfanyie mwenzio ..na mwanamke ni kama bendera unavyo ipeleka ndivyo inavyo kwenda,
ukiiipenda itakupenda
Ukiiheshimu itakuheshimu
Ukimdharau itakudharau ..hao ndio wanawake wa sasa wanyonge walikuwa mama zetu R.i.p Mom
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…