Jinsi ya kuishi na mwanamke kwa furaha na amani katika ndoa

Ni kweli kabisa.... wana viburi plus dharau... pamoja na kupenda maisha ya juu kuliko uasilia wenyewe,,, wajuaji na viherehere, wana ubishi na ukorofi wapenda ugomvi... kwa wanawake hawajatulia(siyo wote).
viburi kama wanawake wa kigogo
 
Watu wanarejea nyumbani usiku vichwa vikiwa vimechemka na wanawaza madeni, saa ngapi mtu anaweza fanya haya
 
Hakuna furahs wala amn ukisha mwoa kwa ndoa , kataa ndoa kijna
 
Mbona kama sinema hii

Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…