Jinsi ya kuishi na mwanamke kwa furaha na amani katika ndoa

Asante sana
 
Point zako nyingi yaonyesha wataka watu waishi maisha feki ktk ndoa, maisha ya kuakti maana naona unafiki mwingi!
 
Namba saba ina maliza mchezo zingine mbwembwe tu
 
Hata kama kalala kama jiwe alafu unamsifia hapo ndio atajua kuwa ww ni mnafiki[emoji38][emoji38]
 
0763 126535
Daaa kwel umemchoka aisee lakn hyo n mkeo kwnn ugawe namba hata km umemchoka jmn bora tu umuache au uongee nae yaishe klko ktmia hasra namna hii
Je unajua n watu wangp watamsumbua kuanzia saiv mwsho wa siku atakuletea UKIMWI ndan be care..
 
[emoji102]
 
Pole sana mkuu.
Ni wachache sana wanaobahatika kupata wake bora.
Heri kupata mke kuliko kupata mwanamke(wachache mtaelewa)
Wengine ni roho chafu za familia zinazowaandama.
Poleni sana na huyo mliyeoa pamoja.

Ushauri wangu;
Usiwaze kumuacha, jitahidi kumrudi Mungu ili amrudishe kwenye mstari mnyoofu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…