Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,773
- 51,429
Kitambo sana ningeshapigana nae chini.kha..Kaka yangu ana hizo sifa.
Shemeji yangu anakuwaga kimya tu na wameishi poa mwaka wa 25 huu.
Anakagua simu kupitiliza
Anarudi home kimya kimya
Hataki shem afanye biashara
Hataki marafiki
Nyumbani mwisho saa 12 jioni uonekane
Kila pesa uliyonayo ijulikane imetoka wapi
Daah shida tupu
All in all mwanamke ni kama mtoto, umleavyo ndivyo akuavyo... Mkunje angali mbichi