Jinsi ya kuishi na Mwenza mwenye maambukizi ya VVU au UKIMWI

Dunia ina mambo...Hii ndio nasikia leo
 
Ninyi si ndio mmejaa kwenye uzi wa kimasihara? Leo hii mnaogopa HIV hivyo… Kwahiyo kule huwa mnafurahisha genge au?

Anyways sijawahi kuusoma uzi wenyewe kwahiyo nisiwashutumu bure ndugu zangu.

Mkuu mleta uzi kongole, lakini nini kimetokea mmeachana, binafsi nimesikitika can you share?
 
Umetumwa wewe na hawa watoto wanaozaliwa na hawa wazazi wa ukimwi wanaolewa wengine wakigunduliwa wanaachwa daa!

Huku mtaani namba ya watu wenye ukimwi naona watu tunaojuana inaongezeka ila kitaifa inapungua mpaka huwa najiuliza hawa wanaoongezeka kitaani kwetu ni wa taifa gani?

VVU ni silaha ya kibaolojia kwa mataifa yanayoendelea ipo siku itafika watu wengi kwenye hizi nchi watakuwa tumeshaathirika na tutaanza kuishi bila ARV hutoboi wakitaka kitu mkitaka kuzingua wanawambia hatuleti ARV mnanyongonyea mnawapa tu na wanawafanya wanavyowataka

Na sisi tulioathirika kwa sasa ndo vibaraka wa mataifa hayo tukipende kizazi tunachokiacha kama umegundulika usisambaze kwa makusudi kizazi kijacho kitatawaliwa vibaya sana #pinned_reply leo tarehe 27/10/2023 naandika haya miaka ijayo tusipobadilika hili litatimia
 
Duh pmj na hayo Ila bdo mkuu , kuweka maisha rehab hvyo ni changamoto kwakweli
 
Yes i can... njoo P.M 😌
 
Haya mambo yapo! Mimi nikiwahi kuishi kimahusiano na mtu mwaka mzima na miezi 7 bila kujua anatumia dawa, hadi siku nilipoziona chumbani kwake, nilipaniki sana nikaenda kupima hospital nyingiii Niko salama hadi Leo,
Mambo haya yasikie tu kwa jirani.
Ukimwi ni propaganda
 
Acha kupotosha vijana pumbavu wewe, wenye ukimwi wachukuane wenyewe kwa wenyewe.
Uchezee shilingi kwenye shimo la choo?
Hivi, bila matusi, ujumbe haufiki?
Mara ngapi unaweza kuhisi tu kwa kumuona mtu kama ana maambukizi?! Na we mwenyewe unajua kichwa cha chini kisivyokuwa na akili na subira, wangapi wanajipa imani na wanazama!
Haya, umeshajua anao,na ndo umempenda.
Kwani wao si watu? Kama alivyoeleza mtoa mada,ushahidi upo,na ukweli ndo huo. Inawezekana watu wakaishi,wakafanya yao,na wasiambukizane.
 
Unatuona sisi manyani 😁
Kivipi Evelyn Salt ? Huamini! Ni wachache kwa sasa wenye ubavu wa kupima kwanza. Japokuwa pia,kama kaupata wiki ngapi zilizopita,mkipima si utamkuta salama!
Nadhani hapa ni kwenye kule kulana matunda kimasihara,unataka,mwenzio hataki,unalazimisha,kitu kinazama. Pengine ukiambiwa ni nao,utasikia poa tu. Dakika kama tano,mawazo yanakuwa mengi na majuto juu. Au mwanamke,ndo kaliwa kimasihara,na kaachiwa. Angefanyeje labda! Na hawa ndo wengi na mdo wahanga wa hili jambo! Sababu,likitokea la kutokea, mwanaume ni asilimia ndogo kupata ukilinganisha na mwanamke,ambaye ni asilimia ndogo kuondoka salama.

Ila ukweli,ni jambo linalowezekana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…