Msela Wa Kitaa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2021
- 1,396
- 2,704
bila ngono hakuna ukimwiHivi, bila matusi, ujumbe haufiki?
Mara ngapi unaweza kuhisi tu kwa kumuona mtu kama ana maambukizi?! Na we mwenyewe unajua kichwa cha chini kisivyokuwa na akili na subira, wangapi wanajipa imani na wanazama!
Haya, umeshajua anao,na ndo umempenda.
Kwani wao si watu? Kama alivyoeleza mtoa mada,ushahidi upo,na ukweli ndo huo. Inawezekana watu wakaishi,wakafanya yao,na wasiambukizane.