Jinsi ya kuishi na Mwenza mwenye maambukizi ya VVU au UKIMWI

bila ngono hakuna ukimwi
 
Kuna vita kubwa kwa gonjwa hili.

Pos wanapambana sana Neg nao waupate.

Hii vita bado mbichi.
 
We unawapa watu chai ya baridi kabisa, hizi CD4 sio virus vya ukimwi, na kutumia Rv siyo tiba ya virus vya ukimwi.
Hata ukipimwa viral load, kama mtu anamaambukizi huyo ni mgonjwa ukijichanganya unakwenda.
Swala liko hivi, Kama mwenzi wako hana vidonda na wewe huna vidonda na unaweza kubahatisha kuingia na kutoka salama. lakini usidanganye watu sijui round 2 au 3 hayo ni majaribu ya kunywa sumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…