Daaah mi kunywea kikombe cha udongo bonge la mtihani
afu kama ni cancer kwa ajili ya matumizi ya vyombo vya plastic basi 95% ya wtz meno yangekuwa zaidi ya hayo hapo huu..
Wamechelewa kidogo, ccm ni zaidi ya cancer ngoja tuimalize kwanza hii cancer kuu baadae tutarudi huko.
Wanajamvi Jumuiya ya madaktari wa Marekani imetoa majibu ya vyanzo vya cancer:-
Kwanza inashauriwa kuwa usinywe chai kwenye vikombe vya plastic, Pili usile chochote chenye moto kilicho ndani ya mfuko wa plastic, mfano; chipsi na tatu usipashe chakula kwenye microwave kwa kutumia chombo cha plastic.
My take: Kumbuka plastic ikikutana na joto inatoa kemikali inayosababisha aina 52 za cancer, kwahiyo Wafahamishe wote uwapendao ili waepukane na madhara haya.
Jinsi cancer inavyoanza kushambulia miili yetu.
Mie nachemsha maji ya kunywa kisha nayapoza kwenye ndoo ya plastic. Ndo kusema.......? Tusitishane bwana! Ebo.....
Wamechelewa kidogo, ccm ni zaidi ya cancer ngoja tuimalize kwanza hii cancer kuu baadae tutarudi huko.