Jinsi ya kujikinga na saratani kwa kuepuka kutumia vyombo vya plastiki

Jinsi ya kujikinga na saratani kwa kuepuka kutumia vyombo vya plastiki

Wanajamvi Jumuiya ya madaktari wa Marekani imetoa majibu ya vyanzo vya cancer:-

Kwanza inashauriwa kuwa usinywe chai kwenye vikombe vya plastic, Pili usile chochote chenye moto kilicho ndani ya mfuko wa plastic, mfano; chipsi na tatu usipashe chakula kwenye microwave kwa kutumia chombo cha plastic.


My take: Kumbuka plastic ikikutana na joto inatoa kemikali inayosababisha aina 52 za cancer, kwahiyo Wafahamishe wote uwapendao ili waepukane na madhara haya.


attachment.php


Jinsi cancer inavyoanza kushambulia miili yetu.

Wenzetu wamewezaje kudhibiti matumizi mabaya ya plastiki haswa mifuko ile maarufu ya Rambo? Sisi tunashindwaje?
 
Na haya mauvumbuzi shuti yaanziege Marekani tu !
Kwengineko wanaendeleza mbonji tu! Si ndiyo?
 
Mie nachemsha maji ya kunywa kisha nayapoza kwenye ndoo ya plastic. Ndo kusema.......? Tusitishane bwana! Ebo.....
 
Mie nachemsha maji ya kunywa kisha nayapoza kwenye ndoo ya plastic. Ndo kusema.......? Tusitishane bwana! Ebo.....

Mkuu wacha hiyo! Hicho ni cha Mtoto! Sasa wengine tulokuwa tunachemsha kwenye ndoo kwa heater na kuyaacha yapoe, hapo inakuaje? Wazungu bwana, kisa kumharibia mchina tu biashara yake, ili tununue vya kwao vya udongo!! Cancer yenyewe inachukua muda gani mpaka itokee? Isije ikawa miaka 60 sasa mtu una 40 eti unasema nakwepa cancer!!
 
Hii si kweli tumenywea vikombe hivyo tukiwa toka wadogo inamaa maji ya chupa nayo yana cancer? ebo
 
Jumuiya Ya Madaktari Wa Marekani Imetoa Majibu Ya Vyanzo Vya Cancer:-
1.Usinywe Chai Kwenye Vikombe Vya Plastic Kuanzia Sasa
2.Usile Chochote Chenye Moto Kilicho Ndani Ya Mfuko Wa Plastic Mfano Chipsi
3.Usipashe Chakula Kwenye Microwaves Kwakutumia Vyombo Vya Plastic
ANGALIZO:Kumbuka Plastic Ikikutana Na Joto Kali Inatoa Kemikali Inayosababisha Aina 52 Za Cancer Kwahiyo Wafahamishe Wote Uwapendao Ili Waepukane Na Madhara Haya
 

Attachments

  • 10915175_405429349582267_7487857427222407184_n.jpg
    10915175_405429349582267_7487857427222407184_n.jpg
    8.9 KB · Views: 993
Back
Top Bottom