Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapa nilipo bold ndio utakuta kunazaliwa 90% ya rushwa, wizi, uchawi, waganga wa kienyeji na u-chuma ulete..10% ilobaki ni ya watu wanaofanya kazi za ziada nje ya kipato chao cha halali kama mwalimu kufundisha tuition, doctor kufanya hospital binafsi,</b> mke kutembea nje ya ndoa<b>, viongozi kuenda semina na washa kila siku, kina maryiooo na mengine utitiri kibao...kwa leo inatosha kuonyesha vyanzo mbadala vya mapato ya ziada ya wa-t
Doltyne, uko sahihi asilimia zote.mi nafikiri mawazo yako yanawezekana.tunatakiwa kuyatumia tu.inawezekana play your part.
Katika masuala ya kimaendeleo, kiasi kinachopatikana sehemu yake inatumika kwa matumizi ya kawaida (expenditures) na kiasi kikubwa kinatunzwa(savings) baada ya kutunzwa kiekezwe kadri ya mda au kiasi (investments).
1.Kuekeza kuko namna mbili; ya kwanza kwenye vitu vinavyoongezeka samani (asset) mfano nyumba, mashamba ya uzalishaji, mifugo, hisa, majengo ya kukodisha, n.k. (ukiona huna elimu ya biashara hii ni njia muafaka na risk yake ni ndogo.
2. Pili kwenye biashara yaani pesa inayozaa pesa yenyewe. Hii ni njia muafaka kwa wenye uzoefu wa kibiashara kwa sababu kama huna ujuzi kidogo kuna uwezekano ukarudi kwenye umasikini.
Matumizi ya vitu kama tv, simu ya bei, vitanda, sofa, n.k haya si utajiri haya ni matumizi ya kawaida tu.(expenditures). yanapaswa yafanywe pale tu umeshawekeza kwenye namba 1 juu au mbili au 1 na 2 kwa pamoja na kwa kiwango kadri ya uchumi unavyokua.
Ukiona huweki akiba, akiba unayoweka huiwekezi ila inakaa tu benki au nyumbani na baadae unaitumia inakwisha. hufanyi kabiashara hata kadogo na unafanya biashara usioweza kuidhibiti....basi hapo uajitazame upya ufanye marekebisho kwani bado kitafsiri uko ndani ya kitu kinaachoitwa na wataalam wa uchumi "mzunguko wa umasikini' au (VIRCIOUS POVERTY CYCLE).
Kujiondoa ndani ya mzunguko huo si jambo la mara moja lakini usome mtiriko hapo juu na fata taratibu hizo kidogo kidogo inawezekana.....
hapa nilipo bold ndio utakuta kunazaliwa 90% ya rushwa, wizi, uchawi, waganga wa kienyeji na u-chuma ulete..10% ilobaki ni ya watu wanaofanya kazi za ziada nje ya kipato chao cha halali kama mwalimu kufundisha tuition, doctor kufanya hospital binafsi, mke kutembea nje ya ndoa, viongozi kuenda semina na washa kila siku, kina maryiooo na mengine utitiri kibao...kwa leo inatosha kuonyesha vyanzo mbadala vya mapato ya ziada ya wa-t