Jinsi ya kujiondoa kutoka kwenye lindi la umasikini(vircious poverty cycle)

Jinsi ya kujiondoa kutoka kwenye lindi la umasikini(vircious poverty cycle)

hii mada tamu sana, inajenga, Gari la kutembelea wewe unakua unatumia mafuta tu lakini halikuingizii ki2 ndio maana sio asset, ila magari ya biashara kama mabasi nk ni asset kwa kua yanakuingizia kipato....
 
hapa nilipo bold ndio utakuta kunazaliwa 90% ya rushwa, wizi, uchawi, waganga wa kienyeji na u-chuma ulete..10% ilobaki ni ya watu wanaofanya kazi za ziada nje ya kipato chao cha halali kama mwalimu kufundisha tuition, doctor kufanya hospital binafsi,</b> mke kutembea nje ya ndoa<b>, viongozi kuenda semina na washa kila siku, kina maryiooo na mengine utitiri kibao...kwa leo inatosha kuonyesha vyanzo mbadala vya mapato ya ziada ya wa-t

Tuwe na heshima na wake zetu na wanawake kwa ujumla. Hii sentensi ni ya kibaguzi na dharau kwa wanawake. Mke kutoka nje ya ndoa haihusiani na uchumi, ni tabia binafsi na tamaa za moyo wa mtu. Na je wanaume wenye pesa wanaotoka nje ya ndoa zao kwa kutokuwa waaminifu na wenye tamaa na kila mwanamke wamuonaye nao tuwaiteje?

Umefika wakati tuwe na fikra chanya juu ya jinsia ya kike. Inasikitisha sana tena inatia uchungu. Nadhani uliyepost hujaoa ndugu yangu. Kama una mke unayempenda na dada unaowapenda huwezi kukubali mwanamke awe insulted namna hii.

Nawasilisha.

Now back to the topic. Wengi wameuliza tutatokaje. Solution ni kuspend less kwenye unnecessary things na kuinvest more kwenye vitu muhimu kama nyumba, viwanja, mashamba nk. Binafsi mtazamo wangu ni tofauti kidogo. Kwangu gari ni essential. Kwasababu inanifikisha ninapotaka kwa urahisi na inasababisha kazi zangu ziende. Kwahiyo kila ninapoenda kwenye pump kuweka gas natambua kuwa ile hela itarudi kwa safari ntakazofanya. Na kama ni kwenda kwa wazazi au ndugu na jamaa, ningeenda bila hata gari ila kwa mzunguko zaidi. Kibaya katika umiliki wa gari ni kufuja matumizi. Kama huna safari za maana, usitoke kwako. Kaa na familia muenjoy, huu muda ni muhimu sana kujenga nyumba thabiti na yenye upendo.

Tanzania ina opportunity nyingi sana, hebu tuanzishe utamaduni wa kuuliza "imetoka wapi" au "imekuwaje", kwa mfano ukiona fuso lina mkaa jiulize limetoka wapi na fuatilia linafanya nini na linaingiza kipato gani? Ukienda kununua nyanya sokoni jiulize zimefikaje na aliyelima kapata nini, msafirishaji kafanyaje? Hii itakujenga kuwa na fikra endelevu juu ya uchumi. Mwisho wa siku utapata cha kufanya.

Kuna vitu kama miembe ya kisasa, ni sure investment zaidi ya nssf na ppf, kwani life span yake ni zaidi ya miaka 100 ikihudumiwa, sasa kwa kilimo cha tani 30 kwa hekta kila mwaka, uko wapi kimaendeleo? Jiulize mapapai yanauzwa 1500 mjini yametoka wapi? Nk. Nyerere aliposema kilimo ndio uti wa mgongo wa taifa alikuwa na maana zaidi ya unayoweza kuisoma kwenye sentensi yake.
Tafakari, chukua hatua.
 
Doltyne, uko sahihi asilimia zote.mi nafikiri mawazo yako yanawezekana.tunatakiwa kuyatumia tu.inawezekana play your part.
 
Doltyne, uko sahihi asilimia zote.mi nafikiri mawazo yako yanawezekana.tunatakiwa kuyatumia tu.inawezekana play your part.

Shukran mkuu, najitahidi kuplay my part kadri ninavyoweza. Kwa mifano yote hai niliyotoa inanihusu kwa namna moja au nyingine.

Kuna kitu kingine nilisahau kukizungumzia. Jamani tukumbuke kuwalipa wafanyakazi wetu stahiki zao kama zilivyo. Tabia ya kudhulumu na kubargain kwa walalahoi ni mbaya sana. Utakuta mtu anavargain hadi mshahara wa mlinzi wa shamba lake, mf amelima mapapai, halaf anamnyonya mlinzi au msimamizi wa shamba lake na kumnyanyasa kwa maneno na pengine vitendo. Kumbuka yeye ni moja kati ya chachu za wewe kufanikisha kilimo au kazi zako. Ana uwezo wa kuvuna shamba lako zima akatokomea na mzigo mzima ukapata BP.
Au anamnyanyasa house girl anayemlindia nyumba yake na mwanae akiwa kazini. Vipi akileta canter likahamisha kila kilicho ndani ya nyumba?
Siku njema.
 
Katika masuala ya kimaendeleo, kiasi kinachopatikana sehemu yake inatumika kwa matumizi ya kawaida (expenditures) na kiasi kikubwa kinatunzwa(savings) baada ya kutunzwa kiekezwe kadri ya mda au kiasi (investments).

1.Kuekeza kuko namna mbili; ya kwanza kwenye vitu vinavyoongezeka samani (asset) mfano nyumba, mashamba ya uzalishaji, mifugo, hisa, majengo ya kukodisha, n.k. (ukiona huna elimu ya biashara hii ni njia muafaka na risk yake ni ndogo.

2. Pili kwenye biashara yaani pesa inayozaa pesa yenyewe. Hii ni njia muafaka kwa wenye uzoefu wa kibiashara kwa sababu kama huna ujuzi kidogo kuna uwezekano ukarudi kwenye umasikini.

Matumizi ya vitu kama tv, simu ya bei, vitanda, sofa, n.k haya si utajiri haya ni matumizi ya kawaida tu.(expenditures). yanapaswa yafanywe pale tu umeshawekeza kwenye namba 1 juu au mbili au 1 na 2 kwa pamoja na kwa kiwango kadri ya uchumi unavyokua.

Ukiona huweki akiba, akiba unayoweka huiwekezi ila inakaa tu benki au nyumbani na baadae unaitumia inakwisha. hufanyi kabiashara hata kadogo na unafanya biashara usioweza kuidhibiti....basi hapo uajitazame upya ufanye marekebisho kwani bado kitafsiri uko ndani ya kitu kinaachoitwa na wataalam wa uchumi "mzunguko wa umasikini' au (VIRCIOUS POVERTY CYCLE).

Kujiondoa ndani ya mzunguko huo si jambo la mara moja lakini usome mtiriko hapo juu na fata taratibu hizo kidogo kidogo inawezekana.....

Noted mkuu nakuunga mkono hiyo ni kweli kabisa.
 
hapa nilipo bold ndio utakuta kunazaliwa 90% ya rushwa, wizi, uchawi, waganga wa kienyeji na u-chuma ulete..10% ilobaki ni ya watu wanaofanya kazi za ziada nje ya kipato chao cha halali kama mwalimu kufundisha tuition, doctor kufanya hospital binafsi, mke kutembea nje ya ndoa, viongozi kuenda semina na washa kila siku, kina maryiooo na mengine utitiri kibao...kwa leo inatosha kuonyesha vyanzo mbadala vya mapato ya ziada ya wa-t

we mbona unaniangalia.. mie nacheka tu.. kwani iko mbaya ipi kucheka..
 
Nimefurahi jinsi ulivyojaribu kuelezea. Lakini kwa nini tusijifunze kutumia ufahamu ili kujitoa kwenye umasikini. Ufahamu ndiko kunakofanyika miujiza. Ukiweka wazo lako liwe zuri au baya ukakaa nalo kwa muda mrefu basi wazo hili litatokea kuwa kitu unachokiwaza. Basi tujaribu kuweka mawazo ya biashara tu katika fahamu zetu ili mitaji iweze kufanyika. Ufahamu una sehemu tatu yaani conscious, subconscious na superconscious. Sehemu mbili za mwisho ndipo hutokea miujiza iwe ya makanisani, misikitini au hata kwa waganga wa kienyeji. Hivyo ukiulisha ufahamu wako vitu vizuri vya biashara hakika utaleta muujiza unaofanana na kile ulichokuwa unafikiria. Sayansi ya kupata utajiri ni ndefu sana lakini yatupasa tujifunze ili kuweza kufanikiwa kihalali siyo kuibaiba na kuwa na mafisadi kama hali ilivyo. google: Elizabethrose Memorial Institute.
 
1. EMI nime google hiyo web ina mada nzuri na kitabu nimekisoma cha poor dad rich dad. ndiyo jambo kama watanzania na wasomaji wengine tuya apply kwenye activities zetu. lakini maarifa haya hayaja wafkia watu wengi na kuweza kuwa succesfull entrepreneurs nawaomba tupitie na tuwekeze huko.

2.Back to topic, swala la savings and investing little money we have na poverty alleviation ni pana sana.lakini tayari tunaishi nalo mfano maswala ya saccos, vibindo, business coaching, compulsory deposit for banks, loans for business, partnerships in business, pensions, n.k; pia ni mwendelezo wa ideas za muda mrefu back to Rostock theories,Adam smith in 1776, na wliofata a long list. ni jambo lipo lakini less applied at individual level .wenzetu wamelitumia wamefanikiwa. sasa ni wakati wetu watanzania. lakini tutatokaje?
 
Back
Top Bottom