Luhamba II
Senior Member
- Mar 22, 2025
- 137
- 219
Juzi Jumapili nilipigiwa simu na Dada mmoja anaitwa Jennifer akasema "Hellow Luhamba nimesajili jina la biashara lakini limekataliwa, naambiwa linalofanana na jina lililosajiliwa, hata sielewi nafanyaje"
Nikamwambia "Jennifer ulikosea"
Akashangaa sana, lakini nilichomwambia bad ya hapo, nakwenda kukwambia na wewe ndani ya sekunde 30 zijazo...
Kabla hujasajili jina la biashara inabidi ufanye search Brela kujua kama Jina Hilo lipo wazi au Kuna mtu alishalisajili.
Usijali, ni BURE kabisa!!
Fuata hatua hizi;
1. Ingia Brela.go.tz kisa jisajili kwa kujaza namba yako ya NIDA na email
2. Log in kwenye website ya Brela Kisha chagua new service
3. Kuna huduma 5 zitakuja, chagua huduma namba mbili (Business name)
4. Chagua Registration of new business name na uchague (individual)
5. Utaambiwa ujaze business details, hapa sasa jana jina la biashara unalotaka kusajili mf: Luhamba company
Alafu bonyeza "similar name"
Utaletewa list ya majina yote yanayofanana na Hilo au kama hakuna utaona empty.
I hope this helps.
Hey, naitwa Luhamba Mimi ni mwanasheria na agency freelancer nawasaidia wafanya biashara kama wewe kusajili Business name.
Kama unahitaji consultation zaidi kuhusu usajili wa jina la biashara au Kampuni unaweza kunitumia ujumbe WhatsApp kupitia namba hizi
0678131068
Your Favorite Lawyer