Jinsi ya kujua kama shahawa zako zinauwezo wa kumpa mwanamke mimba

Jinsi ya kujua kama shahawa zako zinauwezo wa kumpa mwanamke mimba

Hiyo mbona njia ngumu sana?

Ukitaka kujua kwa urahisi tafuta kabinti kwa shule (form three au four) kisha kwichikwichi, utajua
 
Daby unasemaje shemeji yangu? Zimezama au zimeelea? Mstue na Bonny pia nsijesubiri wajukuu hadi kiama.
 
Kwa hiyo ukifanyia zoezi hilo kwenye bwawa au ziwa zukizama ziko vizuri kwa maana hiyo zikizama samaki kama pelege si watafaidi kama mlo wao na hapo ni kama watoto wako wameliwa na samaki!
 
unashawishi watu wapige punyeto wewe na wakianza tu kutoka ni mbinde ohooo! punyeto ni kilevi mkuu shauli yako
 
Kama kichwa cha Habar Kinavyojieleza

Utawezaje kugundua kama Shahawa zako Zinauwezo Wa kumpa mwanamke Mimba......!!!

Chukua Besen Au Ndoo Ya maji

Piga nyeto au fanya ujuavyo Shahawa zako zitoke zen zimwagwe Katika icho chombo cha maji kama Ni besen au ndoo Ya maji

Angalia Shahawa zako kama zikizama ndani ya maji

Ndugu yangu Rafiki yangu Upo vzr hunatatizo na unauwezo wa kumpa mwanamke ujauzito

Ila kama zitakuwa zinaelea tuu juu ya maji Bass utakuwa na tatizo la kutompa Mwanamke Mimba

Hii Mbinu ilikuwa ikitumiwa na wazee wetu

Wakikugundua mapema wanakupa Dawa

Nawasilisha

kazi kwel kweli
 
Uhakika nilionao Watakaongoza kufanya hili JARIBIO ni wale wenye watoto.

Sisi ambao tuko wenyewe duniani wala tunasonga tu.
 
Mimi nimejaribu mara kadhaa na naona kuna wakati zangu zinazama kabisa na hazionekani halafu kuna wakati zinaelea. Je hapa ninauwezo wa kutupia au nitakuwa tu nagongesha besela?
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Back
Top Bottom