Jinsi ya kujua kama shahawa zako zinauwezo wa kumpa mwanamke mimba

Mimi Bao la kwanza limezama-Hapa poa.
Bao la pili limekaa kati_hapa sijui Mapacha Au?
La Tatu Lipo Hapa juu! Bado nachanganyikiwa Msaada please......
 
Mimi nimejaribu mara kadhaa na naona kuna wakati zangu zinazama kabisa na hazionekani halafu kuna wakati zinaelea. Je hapa ninauwezo wa kutupia au nitakuwa tu nagongesha besela?
hizo za kichina mkuu, mimba itatungwa afu inatoweka haaa haaaa
 
Hahaha yani wewe. Umetumwa upate takwimu humu jf ni wangapi wanapiga Pu ....O.
 
asante kwa utabibu wa asili
 
asante dr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…