Jinsi ya kujua simu uliyo nayo ni mchina:

Jinsi ya kujua simu uliyo nayo ni mchina:

Crocozilla

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
469
Reaction score
335
Jinsi ya kujua simu uliyo nayo ni mchina:
1. Battery inajaa baada ya dk.3
2. Simu ina redio,tv,microwave oven,kikata kucha,mswaki,kiberiti cha sigara n.k.
3. Waweza kuchapa meseji zako kwa toothpick
4. Jina lina tatizo eg. Nokla,i-phom,blackderry,samvang n.k
5. Ndege ikipita simu inaandika 1 missed call.
6. Ukiwa karibu na lori,likiwashwa-simu inaandika charger connected!
7. Ina sim card 2 au zaidi,na unapewa betri ya spea ambayo hutaitumia maana simu itakufa kabla
8. Ukipita karibu na raia wa China na huku umewasha bluetooth simu itakwambia -New hardware found,please enter pairing code!
9.sauti kubwa ya muziki au ikiita
 
Unavyo hamisha hamisha mada mara habari na hoja mchanganiko mara jokes.
Wewe mwenyewe wakichina
 
Back
Top Bottom