Kwa principle ya physics ya water pressure huko sahihi. Halafu animals (including humans) wana kitu inaitwa diaphragm ambayo inaweza kubadili pressure ya mkojo; mfano, kama unakojoa katikati ya kukojoa simamisha kupumua uone pressure ya mkojo itakavyo badilika - sasa hapo sijui issue ni ubora wa diaphragm au huko kwenye muscle za pipe. Maelezo ya huyu mleta mada sio scientific!!
Kwenye semina ya kansa ya kibovu cha mkojo kwa mwanaume tuliambia kipimo kimojawapo ni urefu wa stream kutoka ulipo simama kwa sababu tezi dume uvimba umri unavyokwenda hivyo kupunguza njia ya uume.