Jinsi ya kukokotoa kiasi cha fedha ya Mkopo kuwa %


mkuu kwenye iyo 10000 kwa siku ni Uongo..ninavyojua ni sh.7500/= per day
 
n me nko udom ada laki nane;;;;wamenipa milion mbili laki mbili na elfu tisini na saba na mia tano;;;help me'''
 
Nisieni kujua % zangu loan ni 3343000= na tuit fees ni 1263000/= hizo ndo ngap %
 
Ze duduz nixaidie hv hyo accomodation ndo ile ya 7,500 per day au! alafu nisadie tena.
Nmepata 3,635,000
ada ni 1,263,000 hii ni % ngapi?
 
Ze duduz nixaidie hv hyo accomodation ndo ile ya 7,500 per day au! alafu nisadie tena.
Nmepata 3,635,000
ada ni 1,263,000 hii ni % ngapi?

kaka 80% inakuhusu..tutakuwa wote hapo sua
 

mkuu mimi kuna mtu amenielewesha iv,
library 200000
chakula 1832000 kwa siku 245 katika mwaka
hostel huwa inalipiwa 500 kwa usiku mmoja which is 122500 kwa mwaka
field 600000 sasa jumlisha izo alafu utoe kwenye loan uone unabakiwa na sh ngap
 
mim nimepata 3547500,ada 1.2m..na acomodation ni 1837500(7500per day..for 245 days).nna asilmia ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…