Jinsi ya kukokotoa Ongezeko la Asilimia Mshahara!

Kijakazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
7,093
Reaction score
10,469
Nimeona wengi wanauliza nikaona nianzishe uzi labda kusaidia, ni hivi chukua asilimia ya kilichoongezwa mf. 28% gawanya kwa 100 yaani 28:100 halafu zidisha na Mshahara wako, yaani 0.28*(mshahar wako kabla ya kodi)= halafu jibu lake jumlisha tena na Mshahara wako, jibu lake ndiyo kiwango ulichoongezwa.

Huo mshahara kabla ya Kodi ndio ukokotoe!
 
Hiyo formula haiwezi fanya Kazi.......

Ongezeko hilo la Rais Samia, ni kwa wale tu waliokuwa wanapata kiwango cha chini cha 270,000.🥺
 
Nimeona wengi wanauliza nikaona nianzishe uzi labda kusaidia, ni hivi chukua asilimia ya kilichoongezwa mf. 28% gawanya kwa 100 yaani 28:100 halafu zidisha na Mshahara wako, yaani 0.28*(mshahar wako kabla ya kodi)= halafu jibu lake jumlisha tena na Mshahara wako, jibu lake ndiyo kiwango ulichoongezwa.

Huo mshahara kabla ya Kodi ndio ukokotoe!
Mkuu
ACHA uongo
Yaani iwe hivi!!?
23/100=0.233
0.233×940000/= =219020/= ?
HALAFU
940000+219020= 1,159,020/= ?
KWA wale wenye TGTS E?
Haiwezekani we Jamaa!!??
 
Nimeona wengi wanauliza nikaona nianzishe uzi labda kusaidia, ni hivi chukua asilimia ya kilichoongezwa mf. 28% gawanya kwa 100 yaani 28:100 halafu zidisha na Mshahara wako, yaani 0.28*(mshahar wako kabla ya kodi)= halafu jibu lake jumlisha tena na Mshahara wako, jibu lake ndiyo kiwango ulichoongezwa.

Huo mshahara kabla ya Kodi ndio ukokotoe!
Umranzisha na uzi mkuu wakati huna uhakika na ulichoandika mbaya zaidi umeingia mwituni
 
Tanzania imejaa vilaza ndio maana wanasiasa wanatamba sana! Kama mshahara umeongezeka kwa asilimia 23% kwa mishahara yote, je kuna haja gani ya kusema Rais ameridhia ongezeko la 23% ya kima cha chini cha Mshahara!

Kama ni kwa wote si wangesema tu Serikali imeongeza mishahara kwa asilimia 23%.

Ngojeni akina Mrisho Mpoto na Mwijaku waje wawaeleweshe ndo mtawaelewa vizuri.
 
Tanzania imejaa vi.laza ndio maana wanasiasa wanatamba sana! Kama mshahara umeongezeka kwa asilimia 23% kwa mishahara yote, je kuna haja gani ya kusema Rais ameridhia ongezeko la 23% ya kima cha chini cha Mshahara!
Kama ni kwa wote si wangesema tu Serikali imeongeza mishahara kwa asilimia 23%.
Ngojeni akina Mrisho Mpoto na Mwijaku waje wawaeleweshe ndo mtawaelewa vizuri.

Sijaongelea kuhusu kima cha chini, chajuu wala kati bali nimeelezea jinsi ya kukokotoa ongezeko la asilimia ya mshahara kwa ujumla!
 
Mwaka 2017 mzee Dr. Mohammed Shein alitangaza nyongeza ya 100% kwa kima cha chini.

Wazenji wote tukashangilia Sana, na tukaanza kuzidisha mara mbili mishahara yetu.

Kumbe neno kima cha chini lina maana sana.

Wenye akili wamenielewa
 
Nimeona wengi wanauliza nikaona nianzishe uzi labda kusaidia, ni hivi chukua asilimia ya kilichoongezwa mf. 28% gawanya kwa 100 yaani 28:100 halafu zidisha na Mshahara wako, yaani 0.28*(mshahar wako kabla ya kodi)= halafu jibu lake jumlisha tena na Mshahara wako, jibu lake ndiyo kiwango ulichoongezwa.

Huo mshahara kabla ya Kodi ndio ukokotoe!
Mshahara wa kina cha Chini ndio Umepanda kwa Asilimia 23 kadiri Mshahara unavyoongezea ndio na Asilimia ya kupanda inavyopungua
km Mshahara wa kina Chini umepanda kwa Asilimia 23 inawezekana Mshahara wa kima cha juu umepanda kwa Asilimia 10

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Nimeona wengi wanauliza nikaona nianzishe uzi labda kusaidia, ni hivi chukua asilimia ya kilichoongezwa mf. 28% gawanya kwa 100 yaani 28:100 halafu zidisha na Mshahara wako, yaani 0.28*(mshahar wako kabla ya kodi)= halafu jibu lake jumlisha tena na Mshahara wako, jibu lake ndiyo kiwango ulichoongezwa.

Huo mshahara kabla ya Kodi ndio ukokotoe!
Hueleweki
 
Back
Top Bottom