kaswiza90
Senior Member
- Oct 25, 2015
- 194
- 69
Formula ya nini weweOk nimeweka tu formula kiujumla jinsi ya kukokotoa ongezeko la mshahara !
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Formula ya nini weweOk nimeweka tu formula kiujumla jinsi ya kukokotoa ongezeko la mshahara !
Mkuu, ni kwa wote ila wenye mishahara mikubwa wanapata asilimia ndogo. Yaani asilimia inashuka kulingana na ukubwa wa mshara wa mtu huku wenye mishahara midogo wakipata asilimia kubwa.Hiyo formula haiwezi fanya Kazi.......
Ongezeko hilo la Rais Samia, ni kwa wale tu waliokuwa wanapata kiwango cha chini cha 270,000.🥺
Samahani mkuu....Hiyo formula haiwezi fanya Kazi.......
Ongezeko hilo la Rais Samia, ni kwa wale tu waliokuwa wanapata kiwango cha chini cha 270,000.🥺
Sawa mtumshi. Kwahiyo unadhani kutumikishwa ni sifa?98% ya wanaobwekwa bweka hapa na kutaka kujua SIYYO WATUMISHI
Mkuu, wewe ndio umepotea njia kabisaaaaaa....🤣Hapo chukua mshahara wa kima cha chini 300,000 × 23% =69,000
Kwa hiyo hapo watumishi wote wataongezewa 69,000 kwenye mishahara yao
Great thinker hajui hata kutafsiri sentensi isemayo "nyongeza ya mishahara ya kima cha chini"?Kwa hiyo hii ndio jf ya great thinker?
[emoji23][emoji23][emoji23]
Ndivyo ilivyoandikwa kwenye barua iliyotolewa na Kurugenzi ya Rais Ikulu, kwamba ameridhia ongezeko la Mshahara ikiwemo na Kima cha chini.Mkuu
ACHA uongo
Yaani iwe hivi!!?
23/100=0.233
0.233×940000/= =219020/= ?
HALAFU
940000+219020= 1,159,020/= ?
KWA wale wenye TGTS E?
Haiwezekani we Jamaa!!??
Kwa wale wa kima cha chini. Haimaanishi itaongezeka hivyo kwa wote.Nimeona wengi wanauliza nikaona nianzishe uzi labda kusaidia, ni hivi chukua asilimia ya kilichoongezwa mf. 28% gawanya kwa 100 yaani 28:100 halafu zidisha na Mshahara wako, yaani 0.28*(mshahar wako kabla ya kodi)= halafu jibu lake jumlisha tena na Mshahara wako, jibu lake ndiyo kiwango ulichoongezwa.
Huo mshahara kabla ya Kodi ndio ukokotoe!
Nimeona wengi wanauliza nikaona nianzishe uzi labda kusaidia, ni hivi chukua asilimia ya kilichoongezwa mf. 28% gawanya kwa 100 yaani 28:100 halafu zidisha na Mshahara wako, yaani 0.28*(mshahar wako kabla ya kodi)= halafu jibu lake jumlisha tena na Mshahara wako, jibu lake ndiyo kiwango ulichoongezwa.
Huo mshahara kabla ya Kodi ndio ukokotoe!
Barua imesema "ikiwemo kima cha chini" na sio "ni kwa kimo cha chini" maana yake ni wote, soma paragraph ya kwanzaHiyo formula haiwezi fanya Kazi.......
Ongezeko hilo la Rais Samia, ni kwa wale tu waliokuwa wanapata kiwango cha chini cha 270,000.[emoji3064]
Haikuandikwa hivyo, imeandikwa ongezeko la Mshahara ikiwemo Kima cha chini.Great thinker hajui hata kutafsiri sentensi isemayo "nyongeza ya mishahara ya kima cha chini"?
Duh, ndio nini hiki?Nimeona wengi wanauliza nikaona nianzishe uzi labda kusaidia, ni hivi chukua asilimia ya kilichoongezwa mf. 28% gawanya kwa 100 yaani 28:100 halafu zidisha na Mshahara wako, yaani 0.28*(mshahar wako kabla ya kodi)= halafu jibu lake jumlisha tena na Mshahara wako, jibu lake ndiyo kiwango ulichoongezwa.
Huo mshahara kabla ya Kodi ndio ukokotoe!
Hii Sahihi, endapo wataongeza kweli.Mkuu
ACHA uongo
Yaani iwe hivi!!?
23/100=0.233
0.233×940000/= =219020/= ?
HALAFU
940000+219020= 1,159,020/= ?
KWA wale wenye TGTS E?
Haiwezekani we Jamaa!!??