Injili na Baraka
Member
- Jun 20, 2020
- 29
- 29
Hapo unashindwa kuelewa nini ndugu! Hiyo pesa niliyo ifanyia hesabu ni kiasi kilicho ongezeka bila makato.. issue ya makato ni jambo lingineHaya twende Sasa
PAY wanakata asilimia ngapi?
Bima ya afya asilimia ngapi?
Michango ya uanachama asilimia ngapi?
Kwa wale wa elimu ya juu asilimia ngapi?
Uko sawa!Tafuta 23.3 ya mshahara wako, baada ya hapo jibu lako utaongeza na mshahara wako wa awali.
Eg. (300,000/- msh.) = 100%
X = 23.3
X. = 69,900/- ongezeko
:°• (300,000/- )+( 69,900) = 369900/-
369900 ndio mshahara baada ya ongezeko.
Mkuu huo mshahara ni daraja D Wameogezewa 17.3.View attachment 2225020
Hivi ndivyo ilivyoandikwa?Great thinker hajui hata kutafsiri sentensi isemayo "nyongeza ya mishahara ya kima cha chini"?
Mkuu mpangilio wa nyongeza za mishaha ni huu.Kipi hakieleweki hapo toka kima cha chini mpaka cha juu kila mmoja na nyongeza yake.Mnazidi wachanganya tu watumishi hivi serikalini msemaji wa serikali si aje atoe ufafanuzi au wale wandishi wetu wa you tube vipi hii siyo habari mbona issue za kija Jeff na kanze mnapanda mpaka magari vipi mnashimdwa mpigia sm waziri mwenye dhamana akafafanua hili suala maanaa watumishi kama hawaelewi vile
UTAPANDA MWENYEWESawa watumishi nami nitatangaza nauli mpya kwenye bajaji zangu.
Hapana mkuu sitapanda mwemyewe, Ila nategemea kwenu, Ila nauli lazima nipandishe.
Tueleze chanzo cha huu utaratibuMkuu mpangilio wa nyongeza za mishaha ni huu.Kipi hakieleweki hapo toka kima cha chini mpaka cha juu kila mmoja na nyongeza yake.View attachment 2225046
Na ESijiara, na stigilajoji, na vituo vya mabasi, Maji vijijini na udhibiti wa bei, uhakika wa Umeme vitafanyiwa kazi bila tatizo lolote. Yaani hakuna kulalamika Tena, mpo?Mkuu mpangilio wa nyongeza za mishaha ni huu.Kipi hakieleweki hapo toka kima cha chini mpaka cha juu kila mmoja na nyongeza yake.View attachment 2225046
Source yake ni ipi mkuu?Mpangilio wa nyongeza za mishaha.View attachment 2224993
Kima cha chin kuanzia sh ngap mkuu,na watumishi gan wa serikali wanaolipw kima cha chini,naomb ufafanuzi tafadhaliMkuu hiyo asilimia 23.3% ni kwa wale tu ambao walikuwa wanapata mshahara wa kima cha chini
Huu nd ukweli mkuu,wengne wanabwabwaja tu wakat hesabu znawapig chengaMfano kwa wale walimu grade A..chukua basic salary yako ambayo ni kama Sh.419,000/=,zidisha mara 23.3% kisha gawanya kwa 100,utapata 97,627.
Kisha chukua 419,000 ongeza hiyo 97,627 utapata
Sh.516,627/=.Huo ndo mshahara wako mpya kabla ya makato...
Ndio hivyo sasa usichokubali ni nini?? Walimu bhana, mmezoea dhiki, shida, mateso, manyanyaso na chuki, hivyo kama mshazoea umasikini hivi.Mkuu
ACHA uongo
Yaani iwe hivi!!?
23/100=0.233
0.233×940000/= =219020/= ?
HALAFU
940000+219020= 1,159,020/= ?
KWA wale wenye TGTS E?
Haiwezekani we Jamaa!!??
Hakutangaza mishahara wewe kichwa PANZI. ALIPANDISHA LEVEL YA KIWANGO KIPI KITATUMIKA KUANZA KUKATWA KODI.Mwaka 2017 mzee Dr. Mohammed Shein alitangaza nyongeza ya 100% kwa kima cha chini.
Wazenji wote tukashangilia Sana, na tukaanza kuzidisha mara mbili mishahara yetu.
Kumbe neno kima cha chini lina maana sana.
Wenye akili wamenielewa
Siku hizi vijana hamjui Kiswahili tena? Ukisoma vizuri hiyo barua inaonesha kwamba kilichopandishwa kwa 23.3% ni kima cha chini. Soma hivi: amekubali nyongeza ya mishahara kwa watumishi wa umma ikiwemo kima cha chini kwa 23.3%. Kwa hiyo wale wa madaraja mengine hatujui watapandishiwa kwa asilimia ngapi?Barua imesema "ikiwemo kima cha chini" na sio "ni kwa kimo cha chini" maana yake ni wote, soma paragraph ya kwanzaView attachment 2224480
Kima cha chini sijui ni sh ngapi na wanaolipwa kcc siwajui mkuu, ila najua wapo maana kila siku nasikia wanasemwaKima cha chin kuanzia sh ngap mkuu,na watumishi gan wa serikali wanaolipw kima cha chini,naomb ufafanuzi tafadhali