Huyo mke anaonekana anakunyima Sana amani,kwani umemtaja Mara 3🤣🤣🤣uliletewa mke nn toka kijijin?🤔Kulala vibaya sio kama tunapenda sema hutokea kwenye mazingira yafuatayo
1.Madeni
2.Stress za utafutaji
3.Mke mwenye gubu linakununia
4.Mi pombe mshenzi unalala kiasi kwamba ukiamka unajihisi kama jana ulibakwa
5.Kunyimwa gemu na mkeo
6.Kugomba na mke wako
7.Kula kinachopatikana
8.kulala na majeans
9.ONGEZEENI ZENU WADAU
Duh! Nchi ngumu sana hii.Kwenye hii nchi mkuu?
Unataka kumkazia fuvu mwenzako bila sababu tu.... Acha kukaza shingo utavunjikaUkisali ndio unapata usingizi? Uliwahi kufanyika utafiti wa kisayansi juu ya hilo?
Na auwezi kubadilika tunakusaidiaje sasaNaonaa mitihani tu hapo🤣🤣🤣
Ndio mkuu bado sijafika ilaoyaa umerudi🤣
Kabisa mwezi wangapi kipenzi 🥰🥰Babe tuoane huu mwaka basi jamani nimwechoka wajomba eti ??
Wewe hujachoka mashangazi??
Wewe tu ukiwa tayari utaniambiaKabisa mwezi wangapi kipenzi 🥰🥰
Hayo hayafai kuongelea hapa sawa bby tutaongea pmWewe tu ukiwa tayari utaniambia
Sawa tutafutane PMHayo hayafai kuongelea hapa sawa bby tutaongea pm