Jinsi ya kulala usingizi mtamu kila siku

Jinsi ya kulala usingizi mtamu kila siku

Kulala vibaya sio kama tunapenda sema hutokea kwenye mazingira yafuatayo
1.Madeni
2.Stress za utafutaji
3.Mke mwenye gubu linakununia
4.Mi pombe mshenzi unalala kiasi kwamba ukiamka unajihisi kama jana ulibakwa
5.Kunyimwa gemu na mkeo
6.Kugomba na mke wako
7.Kula kinachopatikana
8.kulala na majeans
9.ONGEZEENI ZENU WADAU
Huyo mke anaonekana anakunyima Sana amani,kwani umemtaja Mara 3🤣🤣🤣uliletewa mke nn toka kijijin?🤔
 
Nayo inasaidia,matatizo yote unamkabidhi Mungu na malaika wake,hadi ulinzi.Hii inakupa amani,unalala huku ukiwa huna wasiwasi wowote.
 
Usikute unalala store alafu unakuja hapa kutuadisia umelala usingizi mtamu..

Characteristics za store wote mnazijua, mara kuna kopo lakuogea, mara kuna mtungi wa gesi, mara kuna panga, mara kuna viatu mara kuna nguo, ndoo ya maji, vijiko, hapa lazima ulale kama jambazi maana saa yeyote linaweza kutokea lakutokea.
 
RATIBA YA WALIMU HIYO.

SISI TUNAOFANYA KAZI KUANZIA SAA 11 ALFAJIRI MPKA SA 2 USIKU 365 DAYS HUWEZI KULALA MPKA UPIGE KONYAGI NDOGO

UNALALA SAA 6 USIKU SAA 10 KASORO UKO MACHO.

KAZI ZA MGODI
 
Kuna usiku nilipata hamu ya ugali dagaa mlo wa usiku halafu nikaingia bed baada ya nusu saa ila si kwa shibe ile. Usingizi ulihepa nahema hema tuu.. sijala ugali usiku tangia mwezi wa tano.
Hivyo Mkuu umesomeka. Mlo mwepesi.

Pia cash flow management ndo mpango mzima. Madeni yanawazisha unasahau mume/mke yupo pembeni hata kupata kumbato. Weeeh!
 
Wengine tukifika kitandani ndo mawazo hasi yanatuijia hapo kulala SAA nane usiku, kutumia mto ndo mauzauza Tena Sasa balaa linazidi ukilala chali...aiceee usingizini huko nahisi Kuna dunia nyingine kabisa.
 
Back
Top Bottom