Jinsi ya kulipia kwa VISA

Lady Ra

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2014
Posts
879
Reaction score
991
Ndugu zangu Kwema?

Nimekua nikiagiza vitu nje lakini nimekua nikitumia njia ya Telegraphic Transfer kufanya malipo. Benki yangu imekua ikinikata takribani US$ 50 kama transfer fees.

Sasa kuna mzigo nataka niagizie safari hii lakini nataka nilipie kwa njia ya VISA. Niko mbali na Benki yangu ilipo hivyo siwezi kwenda kuuliza, wala Customer Care number yao sijaishika kichwani.

Msaada wenu ni namna ya kulipa nje kwa kutumia VISA Online, he kila kadi yenye VISA yaweza kufanya haya malipo?
Msaada please...!!!!
 
Tumia visa ya mpesa mastercard.. Ni nyepesi na inafanya kazi vizuri tu.
 
M pesa mastercard wapo vizuri, unatengeneza card yako tu kisha unahamisha pesa kutoka M pesa
 
Inategemea na card limit yako. TT cost ni kubwa lakini ni njia ya uhakika zaidi na kutapeliwa ni mara chache sana kwa sababu ya compliance inayofanyika.

Ni bank gani unatumia???
 
Anhaa,
Unafanyaje hiyo?
Yaweza kulipa $ abroad kama nina TZS kwa salio?
Nenda kwenye menu ya mpesa chagua master card.. Maelezo mengine yapo huko ni rahisi tu na unaweza kulipia chochote popote kama viza card za kawaida tu.. Mi nimeashatumi sana tu kulipia vitu online
 
Tumia visa ya mpesa mastercard.. Ni nyepesi na inafanya kazi vizuri tu..
Visa [emoji769] na MasterCard [emoji769] ni mifumo tofauti boss kusema Visa ya MasterCard is a "Misnomer"., japo yote imelenga kufanya online Transactions na inafanya kazi zilezile and it is very rare to find a location that will accept one but not the other. Nni ushauri bomba kabisa umempa ajaribu M-pesa MasterCard, kama huko anako fanya malipo hawako specific kwa Visa tu( more likely) bas hata MasterCard [emoji769] itakubali.
 

Kweli mkuu.. Ni lugha tu kwenye kuandika ila upo sahihi..na ndo ilikuwa nia yangu kumuelewesha
 
Nenda kwenye menu ya mpesa chagua master card.. Maelezo mengine yapo huko ni rahisi tu na unaweza kulipia chochote popote kama viza card za kawaida tu.. Mi nimeashatumi sana tu kulipia vitu online
Ndio, tena fastaaaa
Nauliza,
Hii huduma iko ndani ya menu ya Mpesa?
Au ni lazima pia niwe na hiyo Card separate?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…