Lady Ra
JF-Expert Member
- Mar 23, 2014
- 879
- 991
Ndugu zangu Kwema?
Nimekua nikiagiza vitu nje lakini nimekua nikitumia njia ya Telegraphic Transfer kufanya malipo. Benki yangu imekua ikinikata takribani US$ 50 kama transfer fees.
Sasa kuna mzigo nataka niagizie safari hii lakini nataka nilipie kwa njia ya VISA. Niko mbali na Benki yangu ilipo hivyo siwezi kwenda kuuliza, wala Customer Care number yao sijaishika kichwani.
Msaada wenu ni namna ya kulipa nje kwa kutumia VISA Online, he kila kadi yenye VISA yaweza kufanya haya malipo?
Msaada please...!!!!