Jinsi ya kulipia kwa VISA

Jinsi ya kulipia kwa VISA

Naomba kuuliza baada ya kufungua hiyo akaunt inakuwa ni online tu au voda watakutumia physical MasterCard ahsante
 
Swali lako lina majibu ya 50/50% means kuwa hapana na ndiyo, wacha nianze na ndiyo....
kwa kutumia mastercard inaweka pabaya usalama wa pesa yako coz huwezi kuibiwa kwa jinsi unavyosema wewe kwa sababu supplier yeye anapata sms ya kupokea pesa kutoka kwenye mastercard number ila hawezi kuona zile expire date na CVV, ngoja niulize swali ndani ya swali, kwa mfano wewe unapopokea pesa kutoka Mpesa ama mtandao wowote ule je sms inakuja na namba ya siri ya mhusika(aliyekutumia pesa)? au inakuja namba ya simu na majina ya mtumaji?.

Utakuwa umepata jibu tayari kuwa sms inakuja kwa mfumo huu.. X12ZGY123XAW imethibitishwa umepokea laki million kutoka kwa MSUKUMA.COM namba 07**********, ila haiji na namba ya siri ya kwangu, basi ndio hivyo seller anapokea sms ya malipo na link husuka ya bidha ambayo umenunua, hapokea sms yenye expire date na CVV.

Jibu la hapana.
mara chache sana mtu anakutana na matapeli kama hatofuata process kabla ya kununua ikiwemo kuangalia Rating na Awards alizopewa.. Kwa utapeli ninao ujua mimi ni kutumia bidhaa feki au bidhaa inakuwa siyo kama uliyo order.

SASA NDIO maana wanashauri kutumia Trade insuarance ili ilkulinde wewe buyer, ukipokea mzigo na kuthibitisha umepokea ndio sasa Supplier analipwa mpunga wake.

Binafsi nakuwaga na wasiwasi kama nikiona seller nataka nimlipe kwa njia Western Union n.k bcoz pesa yangu inakuwa haiko salama ila kama atakubali nimlipe kwa kutumia PAYPAL, Alipay au au huu mfumo wa Escrow huwa nakuwaga na amani sana na kujiamini coz najua hata kama nikipata mzigo fake bado nitakuwa na nguvu na pesa yangu kuwa nataka new order au Refund.

Nahisi nitakuwa nimejibu swali lako mkuu na umepata mwanga mwingine , iwapo hujapendezwa na majibu yangu unaweza kuuliza tena kwangu au kwa wengine.

Kama kuna typing mistake unaruhusiwa kurekebisha.
Mkuu samahani naomba maelekezo ya alipay namna ya kujiunga,maana sehemu ya nchi Tanzania siioni. Naomba unifafanulie maana ninashindwa kujiunga nayo. Naomba usaidizi wako. Natanguliza shukrani zangu kwako.
 
Hivi ukitumia CRDB Bank Mastercard si ndio njia rahisi zaidi na unapata statements kirahisi?

Mimi huwa natumia CRDB MasterCard kwa online transactions. Naona iko poa sana pia
Mimi pia nimetumia sana CRDB Mastercard (zamani kabla ya kadi kuexpire)...shida ya hawa jamaa ni kwenye kuiruhusu kadi yako ifanye hizi online transactions.
Unapopewa kadi huwa haiwezi kufanya hizi transactions, wanataka mteja aridhie mwenyewe kwa kwenda bank na kujaza forms za kukubali kadi iruhusiwe. Ukijaza form watakutumia "code" kwenye simu ili uendelee na registration kupitia website yao ya crdb (Verify card through VBV). Shida inaanzia hapa, sijui wana tatizo gani maana ukishafika kuverify identity (kuingiza hiyo code) hakuna kinachoproceed mbele, na ukirudia mara tatu wanablock akaunti. Nimepata tabu matawi matatu ya mikoa tofauti (kwa kuwa nilikuwa nasafiri). Na kila ukienda wanakujazisha form upya ili utumiwe code nyingine. Nilishaenda ofisni kwao nikamwambia muhusika, najaza form, hiyo code itumwe nikiwa hapahapa, then fanya registration kwenye computer yako hapohapo, niondoke nikiwa nimelimaliza hili, akanijibu hawezi (nikachoka kabisa).
Kadi ya kwanza iliyoexpire nayo ilikuwa hivihivi. Kilichosaidia nilipost hii kadhia facebook, kuna jamaa (tulisoma naye, alikuwa crdb) akanifuata inbox. Nikarisk kumpa details zangu zote za kadi, akalitatua. Kiufupi CRDB Mikoani wako na shida sana na hii product. Washanifukuza, kuna bank nimeenda nimefungua akaunti, wamenipa kadi inayofanya hizi transactions hata dk15 haijaisha.
 
Tusaidie jina la hiyo bank inayofanya transaction ndani ya dakika 15 kama hutojali mkuu
 
SIyo transaction Mkuu, ndani ya dk 15 ni kufungua account na kupewa card ambayo iko verified kufanya online transaction. Nilienda Absa Bank Kiongozi
 
Swali lako lina majibu ya 50/50% means kuwa hapana na ndiyo, wacha nianze na ndiyo....
kwa kutumia mastercard inaweka pabaya usalama wa pesa yako coz huwezi kuibiwa kwa jinsi unavyosema wewe kwa sababu supplier yeye anapata sms ya kupokea pesa kutoka kwenye mastercard number ila hawezi kuona zile expire date na CVV, ngoja niulize swali ndani ya swali, kwa mfano wewe unapopokea pesa kutoka Mpesa ama mtandao wowote ule je sms inakuja na namba ya siri ya mhusika(aliyekutumia pesa)? au inakuja namba ya simu na majina ya mtumaji?.

Utakuwa umepata jibu tayari kuwa sms inakuja kwa mfumo huu.. X12ZGY123XAW imethibitishwa umepokea laki million kutoka kwa MSUKUMA.COM namba 07**********, ila haiji na namba ya siri ya kwangu, basi ndio hivyo seller anapokea sms ya malipo na link husuka ya bidha ambayo umenunua, hapokea sms yenye expire date na CVV.

Jibu la hapana.
mara chache sana mtu anakutana na matapeli kama hatofuata process kabla ya kununua ikiwemo kuangalia Rating na Awards alizopewa.. Kwa utapeli ninao ujua mimi ni kutumia bidhaa feki au bidhaa inakuwa siyo kama uliyo order.

SASA NDIO maana wanashauri kutumia Trade insuarance ili ilkulinde wewe buyer, ukipokea mzigo na kuthibitisha umepokea ndio sasa Supplier analipwa mpunga wake.

Binafsi nakuwaga na wasiwasi kama nikiona seller nataka nimlipe kwa njia Western Union n.k bcoz pesa yangu inakuwa haiko salama ila kama atakubali nimlipe kwa kutumia PAYPAL, Alipay au au huu mfumo wa Escrow huwa nakuwaga na amani sana na kujiamini coz najua hata kama nikipata mzigo fake bado nitakuwa na nguvu na pesa yangu kuwa nataka new order au Refund.

Nahisi nitakuwa nimejibu swali lako mkuu na umepata mwanga mwingine , iwapo hujapendezwa na majibu yangu unaweza kuuliza tena kwangu au kwa wengine.

Kama kuna typing mistake unaruhusiwa kurekebisha.
Mkuu naomba maelezo kuhusu namna ya kujiunga na Alipay, ulifanyaje mpaka ukafanikiwa? Natanguliza shukrani zangu kwako
 
Back
Top Bottom