Jinsi ya 'Kumatch' mavazi

maaruf ni hizi; surual nyeusi ina match na shati zote. surual ya kak iliyokoza ina match na shat nyeusi,damu ya mzee (nyingine utaongezea). surual zambarau na shat jeusi.
 
maaruf ni hizi; surual nyeusi ina match na shati zote. surual ya kak iliyokoza ina match na shat nyeusi,damu ya mzee (nyingine utaongezea). surual zambarau na shat jeusi.
khaaa suruali ya zambarau? nakumbuka ilikua sare ya wanafunzi wa kiume kipindi nasoma.
 
Rangi bomba za suruali ni brown, black na kijivu,
mashati yenye maua yanaboa.
ila ukivalia lenye drafts au mistari ya size ya kati create a gentle look.
yaan nilifananisha kijiv na zambarau, ndo mana ulinishangaa! ila naomba mtazamo kwenye brown ni shat rang linafit.
 
habari zenu wakuu, naomba msaada kwa wale wajuz na wazoefu wa masuala ya mavazi. nataka kujua rangi ipi ya nguo inaendana na ipi? kwa mfano shati jekundu lina match na surual gan! mwenye elimu si vibaya tuka share. karibuni sana.
Shati jekundu halifai
 
Hivi rangi tanashati za nguo kwa mwanaume ni zipi.......?.....kwa sababu kwangu mimi ukinivalia shati jekundu nakuona kama Poacher.....ila ukitupia tshirt nyekundu na jeans flan amaizing.......nakuona kama Taye Diggs........
Nasisi wake wa tumbo wazi hatuna nafac?!
 
maaruf ni hizi; surual nyeusi ina match na shati zote. surual ya kak iliyokoza ina match na shat nyeusi,damu ya mzee (nyingine utaongezea). surual zambarau na shat jeusi.
Hapo kwenye suruali ya zambarau mmmh
Sijui naanzaje kuvaa kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…