kimbendengu
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 6,716
- 12,116
mimi nataka rangi za chadema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ila dada zetu nyie ni wavumilivi!
mimi nataka rangi za chadema
khaaa suruali ya zambarau? nakumbuka ilikua sare ya wanafunzi wa kiume kipindi nasoma.maaruf ni hizi; surual nyeusi ina match na shati zote. surual ya kak iliyokoza ina match na shat nyeusi,damu ya mzee (nyingine utaongezea). surual zambarau na shat jeusi.
yaan nilifananisha kijiv na zambarau, ndo mana ulinishangaa! ila naomba mtazamo kwenye brown ni shat rang linafit.Rangi bomba za suruali ni brown, black na kijivu,
mashati yenye maua yanaboa.
ila ukivalia lenye drafts au mistari ya size ya kati create a gentle look.
Shati jekundu halifaihabari zenu wakuu, naomba msaada kwa wale wajuz na wazoefu wa masuala ya mavazi. nataka kujua rangi ipi ya nguo inaendana na ipi? kwa mfano shati jekundu lina match na surual gan! mwenye elimu si vibaya tuka share. karibuni sana.
brown na shati jeupe au draft yenye nyeupe na nyeusiyaan nilifananisha kijiv na zambarau, ndo mana ulinishangaa! ila naomba mtazamo kwenye brown ni shat rang linafit.
Nasisi wake wa tumbo wazi hatuna nafac?!Hivi rangi tanashati za nguo kwa mwanaume ni zipi.......?.....kwa sababu kwangu mimi ukinivalia shati jekundu nakuona kama Poacher.....ila ukitupia tshirt nyekundu na jeans flan amaizing.......nakuona kama Taye Diggs........
Hehehehehe dah aiseeUnakuta kavaa suruali nyeupe na bukta kubwa nyekundu
Mfano nkaja na hiyo suti yangu nayoipenda sana, itakuwaje?
Nasisi wake wa tumbo wazi hatuna nafac?!
MirrorManMfano nkaja na hiyo suti yangu nayoipenda sana, itakuwaje?
Hapo kwenye suruali ya zambarau mmmhmaaruf ni hizi; surual nyeusi ina match na shati zote. surual ya kak iliyokoza ina match na shat nyeusi,damu ya mzee (nyingine utaongezea). surual zambarau na shat jeusi.
Tena wa rombo sasa!atakuwa mchagga kama wewe labda! hio bukta ndani au juu ya suruali?