Jinsi ya 'Kumatch' mavazi

Mimi km Bitoz naona watu wanasumbuliwa na mambo haya:

1/ kutojua kumatch...unakuta mtu kavaa kiatu cheusi.suruali njano...shati rangi ya kenge ..mkanda wa zambarau kisha tai ya pink.....Ni kituko

2/Kutojua size zao
Utakuta mtu anavaa oversize au undersize utafikiri kaazima ....mtu kimbaumbau napiga bwanga kubwa km SIMTANK bwana...utadharaurika !!

3/ kutojua wavae nini kwa wakati gani na wapi
..unakuta mtu napiga suti kali kisha anazurura tu kitaa au mtu kavaa Nguo za mlegezo ofisini..Skinny jeans kanisani & kimini msibani ...huu ni ulimbukeni

Usipojua kuvaa Heshima yako itashuka.....kuna wengine tuna vipaji vya kupiga pamba(siyo kuvaa matakoni/mlegezo) ........Ndio chanzo cha watu kuniita Bitoz
[emoji102] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Shati jeupe linavaa kila rangi. Hapo tupia suruwale ya kadet au nyingne nzri ya brown au kaki na kiatu cheusi mkanda mweusi usisahau anjifuu nyeupe kama za viatu ziendane na suruwali au ziwe nyeusi kabisa. Ukigonga suruwale nyeusi viatu tia hivi kama valveti nyeusi mkanda brown si mbaya hakikisha nguo,viatu vinakukaa sawa sio vimooodo sana au mabwangaaa kama ya wanigeria
 
ila inategemeana na mwili wako kama mwili kama Sam Mahela vaa kwendana na mwili ila kama mwili wa leMutuz vaa kubwakubwaa usijinane. Nani usisahau kitu cha vest nyeupe inayokushika vyema... boxa nzr inayoshika maungo vzr sio uje uvae bukta kama za wacheza mpira.
 
Mwanaume mara nyingi kaa mbali na pink(feminine) and purple(gay anonymous?).

Kama unachomekea, kiatu ki-match mkanda. Always.

Must have a mean or cool shoe game. Don't have one, purchase one.

Attitude to go with your gear.
 
hiv shat nzuri za vitenge nazipata duka gan dar?
 
Unaweza kushona ukiwa na fundi mzuri, maana mafundi wengi wanakosea sana kupima mabegani na ukivaa shati Lina jaa kwapani....
Thanks for useful advice...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…