Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,553
Mimi km Bitoz naona watu wanasumbuliwa na mambo haya:
1/ kutojua kumatch...unakuta mtu kavaa kiatu cheusi.suruali njano...shati rangi ya kenge ..mkanda wa zambarau kisha tai ya pink.....Ni kituko
2/Kutojua size zao
Utakuta mtu anavaa oversize au undersize utafikiri kaazima ....mtu kimbaumbau napiga bwanga kubwa km SIMTANK bwana...utadharaurika !!
3/ kutojua wavae nini kwa wakati gani na wapi
..unakuta mtu napiga suti kali kisha anazurura tu kitaa au mtu kavaa Nguo za mlegezo ofisini..Skinny jeans kanisani & kimini msibani ...huu ni ulimbukeni
Usipojua kuvaa Heshima yako itashuka.....kuna wengine tuna vipaji vya kupiga pamba(siyo kuvaa matakoni/mlegezo) ........Ndio chanzo cha watu kuniita Bitoz
[emoji102] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]