Jinsi ya 'Kumatch' mavazi

You just reminded me of my best friend. Yani yeye ugonjwa wake mkubwa ni wakaka wanaovaa "cadets". Asimeet na mtu kavaa cadet atanipa taarifa ASAP
 
On a serious note, mtu anayevaa oversize huwa hata hanibariki. Ka mtu kana mwili mdogo kanaenda kushona suruali metre 6, shati halijulikani kama ni la mikono mirefu au mifupi afu kubwa hadi kwapa linaning'inia

Kuna wale pia wanavalia suruali tumboni, huku juu suruali nyembamba basi unakuta huku nyuma kidume kijungu kinatuna ndiiii, loooh

Na kuna zile people zinavaaga moka nyeupe aiseeeeeeee
 
Umeamua unianike Daddy yako hadharani ehee?..Majungu nani kakufundisha we mtt
 
inategemeana unataka kuvaa kwa mtoko gani, unaweza kuvalia trouser ya blue inayoelekea kuwa darkblue.ukipata nakoti itanasa vizuri
 
Ndo umeamua kurevenge sasa..Basi kesho napiga ile moka nyeupe,suruali nyekundu na shati la kijani ili uje kuongea vizuri
Sijarevenge bana, me nimeongelea tu dress codes ambazo sitaki mkweo hata azijaribu teh. ukikutana na mimi na hizo match match zako please nikaushie tu, maana ntaact kama sikujui teg
 
Sijarevenge bana, me nimeongelea tu dress codes ambazo sitaki mkweo hata azijaribu teh. ukikutana na mimi na hizo match match zako please nikaushie tu, maana ntaact kama sikujui teg
Uwe unanirekebisha basi kabla sijatoka...Sema basi na unazozipenda na mi nianze kunyuka
 
Uwe unanirekebisha basi kabla sijatoka...Sema basi na unazozipenda na mi nianze kunyuka
Hahaha daddy wewe toka tu as unavyotokaga daily "simple". you will never go wrong with a simple look, don't try too hard + wear your confidence kabla ya chochote . BTW daddy unavaa viatu size gani, ujue sina pa kugongea sneakers siku hizi teh
 
Hivi rangi tanashati za nguo kwa mwanaume ni zipi.......?.....kwa sababu kwangu mimi ukinivalia shati jekundu nakuona kama Poacher.....ila ukitupia tshirt nyekundu na jeans flan amaizing.......nakuona kama Taye Diggs........

Nimecheka kwa sauti sana aisee... hata shati la pink sio vazi zuri sana kwa mwanaume ... Vaa shat ama la draft ndogo ndogo au kubwa kiasi vaa shart la mistari midogo kwa mbali kama limezidiwa na brown suruali iwe brown kama limezidiwa na black suruali iwe black hivyo hivyo kama ni khaki... nadhani rangi nzuri kwa mwanaume ni brown, khaki kuna na green flan hivi kama ya jeshi na black.... kama ni tshet tupia surual ya jeans au cadet yako moja matata sana. Rangi nyingine ni kujichosha tuu kwa a man
 
Teh mbona sisi flat screens mnatugaya. Bana hizi huwa ni fantasy tu, usishangae kesho na kesho kutwa nawaletea shem wenu ana mwili kama le mutuz, afu namflaunt balaa teh
haaahaahh..hopeful i wish to see you with my shemeji like shaquille o'neal
 
Kumatch ni muhimu ila I hates watu ambao wako way more too match match! Unakuta mtu kamatch kila kitu.

Wengine unakuta kavaa kila aina ya rangi utadhani anadhaminiwa na Sadolin. Fasheni hizi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…