Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
You just reminded me of my best friend. Yani yeye ugonjwa wake mkubwa ni wakaka wanaovaa "cadets". Asimeet na mtu kavaa cadet atanipa taarifa ASAPShati jeupe linavaa kila rangi. Hapo tupia suruwale ya kadet au nyingne nzri ya brown au kaki na kiatu cheusi mkanda mweusi usisahau anjifuu nyeupe kama za viatu ziendane na suruwali au ziwe nyeusi kabisa. Ukigonga suruwale nyeusi viatu tia hivi kama valveti nyeusi mkanda brown si mbaya hakikisha nguo,viatu vinakukaa sawa sio vimooodo sana au mabwangaaa kama ya wanigeria