Jinsi ya 'Kumatch' mavazi

Jinsi ya 'Kumatch' mavazi

kichekoh

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2015
Posts
1,376
Reaction score
1,479
Habari zenu wakuu,

Naomba msaada,

Kwa wale wajuzi na wazoefu wa masuala ya mavazi. Nataka kujua rangi ipi ya nguo inaendana na ipi? Kwa mfano shati jekundu lina match na suruali gani?

Mwenye elimu si vibaya tuka share.

Karibuni sana.
 
Hivi rangi tanashati za nguo kwa mwanaume ni zipi.......?.....kwa sababu kwangu mimi ukinivalia shati jekundu nakuona kama Poacher.....ila ukitupia tshirt nyekundu na jeans flan amaizing.......nakuona kama Taye Diggs........
 
habari zenu wakuu, naomba msaada kwa wale wajuz na wazoefu wa masuala ya mavazi. nataka kujua rangi ipi ya nguo inaendana na ipi? kwa mfano shati jekundu lina match na surual gan! mwenye elimu si vibaya tuka share. karibuni sana.
Ukijiona sio mtaalam sana wa ku match, jitahidi uwe unavaa suruali nyeusi hio ina match kila rangi ya shati. pia hakikisha mkanda na viatu vina match especially kama unachomekea.
 
housekeeping
10-abiti-alberghi-ristoranti_10.jpg
 
hao wa mbele bhana, nilienda white hapo wanavaa black and white, pia hata opposite pale seascape au landmark ni the same
Sasa ndio mtu akwambie utinge white shirt,black trousers and black shoes!
 
Back
Top Bottom